Atulie macron asubiri mchakato umalizike alafu ajaribu kufanya iko anachosemaReferendums in Donbas will not have legal consequences, the whole process is a parody
We will keep supplying weapons to Kiev -Macron
We will take back our people and land just as we will keep destroying your puny weapons.
ilisogezwa mbele dk za mwisho, vp antngaza mobilization nn?Nipeni link nione matangazo live ya hotuba ya Putin. Nilijua ni saa mbili kamili kumbe sio
Ameshindwa kijeshi how!??Russia anataka kuescalate hii vita baada ya kuona ameshindwa kijeshi na Ukraine,nadhani anatafuta kisingizio cha kufanya mobilization.
Sidhani kama itawasaidia maana Nina hakika Russia akiingiza jeshi zima kwa kisingizio eti hayo maeneo ni sehemu ya Russia, Marekani na washirika wake hawatakubali wataipa Ukraine Makombora makali ya masafa marefu kama ATACMS na vita itachukua Sura mpya. Mpaka sasa Marekani bado inasapoti kwamba maeneo yaliyo ndani ya Ukraine ni target halali kwa majeshi ya Ukraine ikiwemo Crimea.
Ngoja tuone.
hahahaa hatari mno, mwache amobilize vjana wake kazi iko palepaleNasemaje pro NATO ile Russia tuliokuwa tunawaambia ndio mtaiona baada ya Press ya leo ya Putin na shoigu
wameshaona kuwa putin yupo serious this time ataki mchezoKIMEANZA KUELEWEKA
The United States of America invites India and other countries to privately, if they wish, encourage Russia to end its special operation in Ukraine, the White House announced.![]()
hatari snNatamani kuona hiyo vita kamili itakuwa na sura gani tofauti na hii ya Sasa
Namuomba mungu anipe uzima,nishuudie hili,
Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air supporthahahaa hatari mno, mwache amobilize vjana wake kazi iko palepale
huyu mzee hawez kukubali kuonekana kashndwa kitu sababu waumin wake wanadai ni genious, lazima aescalate mamboFashisti Putin anahangaika kweli [emoji848] atulie tu dawa imuingie hakuna namna [emoji2]
Watapata akili soonpole sana kama US wenyewe wanalijua ilo kuwa ikitangazwa full war siyo US wala NATO zitakazo tia pua zao Ukraine
Anaona ni kama mechi ya mandonga vile! Watapigana vitasa wakiwa ulingoni huku nje watu wakiendelea na ushabiki kufurahia viingikio vyaoNdugu, hivi unajua kweli kinachoendelea huko Ukraine?!? Unadhani hiyo mobilization ni kwa ajili ya Ukraine?! Unadhani maana ya tangazo la referendums ni Nini?! Russia ipo tayari kwa Vita na NATO...it is WWIII...ni Vita kamili...Sasa huo ushabiki wa sijui muziki wa Ukraine sijui Nini dah....
Wakati akifanya hivyo majeshi ya Ukraine yanakuwa yanamwangalia tu huku yakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air support
duh hio itakua balaa sn, so Special operation imefeli? ndio maana anamobilize?Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air support
Nipo Rostov. Ready for engagement[emoji298]️Attacks by Kiev after the announcement of the results of the referendums will be regarded as aggression against Russia, - Senator Kovitidi