Baada ya referendum hayo maeneo hayarudi kyve maana Russia atakuwa na uhalali wa kutumia RUNGU kuua nziBaada ya kipigo kuwa kikali wameona wageukie referendum,
Uzuri ni kwamba ukraine wanazidi kusonga mbele, mambo ya referendum anayazungumzia Putin na mafashist wenzake [emoji848]
The last kick of dying horse.[emoji237][emoji237][emoji237][emoji237][emoji91][emoji91][emoji91]The Central Election Commission of the Russian Federation organizes polling stations in Russia to vote in referendums in the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions, Bulaev, deputy head of the commission, told RIA Novosti[emoji91][emoji91][emoji91]
Je hiyo ndo itawasaidia?Aiseee kweli maji ya shingo mpk watu wanaomba waharakishe referendum ili wajiunge na Russia Federation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
New: Urgent discussion among #Russia’s proxies of the need for Russia to immediately annex #Luhansk & #Donetsk oblasts suggests that #Ukraine’s ongoing northern counter-offensive is panicking proxy forces and some Kremlin decision-makers.
Read our latest:
isw.pub/RusCampaignSep…
Mwisho watamgeuka woteTurkey's President Recep Tayyip Erdogan told PBS that Vladimir Putin is willing to talk to Ukraine after Kyiv's lighting counteroffensive pushed Russians out of Kharkiv Oblast.
Erdogan said he "asked (Putin) to return Crimea to its rightful owners."
Vip mbona hajatumia Hilo rungu wakati Crimea inashambuliwa kila mara[emoji848]Baada ya referendum hayo maeneo hayarudi kyve maana Russia atakuwa na uhalali wa kutumia RUNGU kuua nzi
Urusi anaihesabu Crimea kama sehemu ya nchi yake tangu 2014, lakini hiyo haijazuia Ukraine kuwatembezea kichapo [emoji2][emoji91][emoji91][emoji91]Citizens who left for territories controlled by Kyiv will not be able to vote in a referendum in the Kherson region, said Stremousov[emoji91][emoji91][emoji91]
Who cares......Watu wametoka kuwa nchi huru, hadi kuomba kuwa mikoa ya Urusi
Russia anataka kuescalate hii vita baada ya kuona ameshindwa kijeshi na Ukraine,nadhani anatafuta kisingizio cha kufanya mobilization.Je hiyo ndo itawasaidia?
Teh teh. Putin anazidi kujivua nguo mchana kwa upe vile alivyo zero brain.Baada ya kipigo kuwa kikali wameona wageukie referendum,
Uzuri ni kwamba ukraine wanazidi kusonga mbele, mambo ya referendum anayazungumzia Putin na mafashist wenzake [emoji848]
This is the day dreams.., awake!I am sure that good news awaits all of us soon, which will overcome the despondency of the great Kharkov retreat. And we will finally start to fight. And we will do this until the enemy is completely defeated and destroyed. It will be hard, a lot of time wasted, but we are Russians, which means God is with us! .![]()