Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
[emoji635] Denis Pushilin turned to Putin with a request to consider the issue of the DPR joining the Russian Federation in the event of a positive decision of the inhabitants in a referendum:Tuliwaambia warusi wa humu kwamba nia ya Watu wa magharibi si ushindi, bali ni kuweka mazingira mazuri kwa Ukraine wakati wa mazungumzo - Putin hana njisi nyingine zaidi ya kukaa mezani.
Ukraine itakaa mezani ikiwa na turufu ya hamsini kwa hamsini na hii ndiyo nia kubwa ya wana magharibi
"Dear Vladimir Vladimirovich! In the event of a positive decision following the referendum, which we have no doubts about, I ask you to consider the issue of the Donetsk People's Republic joining the Russian Federation as soon as possible. The long-suffering people of Donbass deserved to be part of the Great Country, which they always considered their Motherland. This event will be the restoration of historical justice, the onset of which millions of Russian people crave."
Pitia hapa kidogo MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app