LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Screenshot_20220305-114440.png
 
Lazima ajali uhai wa raia.
anachojali ni uhai wa raia ambao zamani walikuwa warusi, na historia ya uhusiano wake yeye na raia watakaobaki, hawatamsamehe akifanya ujinga. ila hiyo ni kwasababu hanabanwa koo, akibanwa na hana namna, anaweza kufanya ujinga mkubwa sana ambao utamgarimu maisha yake yote.
 
Mimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
 
Yap, ndo maana wanajeshi hawagusi raia, anachofanya nikumfosi rais wa Ukraine akubali terms zake.
 
Mimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Reportedly, on the video of the destruction in the city of Bila Tserkva, Kiev region
 
Back
Top Bottom