NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Sanctions against Russia are akin to a declaration of war, but it hasn't come to that yet, Putin said.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DoneWameambiwa mapema ili isije wakasema hatukusema
NB: Putin hasemwi wala haonywi kwa sababu yeye anayeonya na kusema.
Vituo vyote wamefungiwa, Wacha tuwasaidie watu kujua kinachoendelea.Russia news
Vituo vyote wamefungiwa, Wacha tuwasaidie watu kujua kinachoendelea.
Wamepimzika kwa muda, safari ndefu🤣ule msafara wa Kilomita 64 umepause safari shida nn?
hapa mim ndio huwa nashangaa sana
kama taarifa za jana ni kuwa bweni la wanafunz wa kutoka India waukrain wamelichoma moto na kujeruhi.
Shukrani MkuuMkumbuke kuna wale wavuta unga,wezi na vibaka walioachiwa na wamepewa silaha hao Ndio wanao ua raia,wanaingia Kwenye malls,shops kuiba yan hiyo nchi mpaka ije kurud ilivyokua itachukua muda
Mtamuita Mungu sasa!!! Dunia unatakiwa iwe mahali salama, watu kama Putin ni 'wakuaga tu.Mimi ninachojua Urusi ni kama Jua kwenye mfumo wa solar hivyo hivyo vingine vyote vinalitegemea jua hilo. Kulitishia jua ni kuyatishia na kuhatarisha maisha yenu. Narudia tena Putin hajaribiwi,waulize Meta,Twitter na BBC watakuambia Nyamizi