Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia kutumia nuclear weapon itakuwa suicide kwake , wenzake wanazo za kutosha tuu na akianza tuu watahakikisha Russia yote inageuka majivu, sijui kama Russians wako tayari kumaliza Taifa lao kwa ajiri ya ufala wa Putin na akili zake za cold war era
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa hao wengine hawawezi kugeuka majivu?! Hakutakuwa na mshindi kwenye nuclear war...wote wataangamia..
 
Chawa wa Putin hawaamini wanachokiona[emoji23][emoji23][emoji23], Kherson hapakaliki.

Meanwhile on Russian state TV: grim predictions that Russia is at least two months away from even attempting to advance. Also, some surprising admissions about how unprepared they were and the magnitude of the losses they've experienced in Ukraine.

 
Nani anasoma PHd Russia? mtu yeyote mwenye akili hawezi kusoma PHd Russia labda kama ni agent, ulipoteza muda tuu pole
Sitaki kujadiliana na watu wanachamba kama Mange. Ukiwa na akili za kujadiliana na mimi njoo kwa majadiliano la sivyo, uchambaji na ujuaji wa kipumbavu peleka kwa mashoga wenzio.
 

Bwana Utam kama alivyogusia hapo Jesus Mlokozi, Kupunguza uzalishaji ni kupunguza supply ambayo in turn inapelekea bei kua juu amid higher demand iliyopo hivi sasa.

So this is all about business, na kitendo hicho tunaweza kukiita kama ni "Price control".
 
Na kila siku anazuka mpya kesho sijui ni zamu ya nani.
Nadhani kunashida kubwa sana katika jamii yetu. Haiwezekani mtu anakuja kwa lengo la kuandika nonsense kila kukija. Halafu aina ya uandishi ni ile ile tu.

Huenda ni kundi la watu wa aina ile ile au ni mtu mmoja.
Mimi kwa kweli mshipa wa subira sina na mjibu mtu pale pale ili aje mwingine na ID mpya.
 
Halafu vilevile EU wanataka kuweka price ceiling mafuta ya Russia. Kwa hiyo mafuta yatakuwa adhimu hata wakiweka huo ukomo wa bei utakuwa useless.
 
Halafu vilevile EU wanataka kuweka price ceiling mafuta ya Russia. Kwa hiyo mafuta yatakuwa adhimu hata wakiweka huo ukomo wa bei utakuwa useless.

Vilevile kumbuka OPEC+ nao wanataka kupunguza uzalishaji. Sasa unajua nini kitatokea.
Hizi ni basic kanuni za uchumi.

Demand ikiwa constant, Supply inakuwa ndogo then price inapanda juu.
 
Baada ya kushindwa kyiv jeshi la urusi yaliamua kurud maeneo ya donbass kujiimarisha kule

jeshi la urusi likajimegea maeneo pale
jeshi la Ukraine likaanzisha kampeni ya kujibu mashambulizi ( counteroffensive).

matokeo ya hii kampeni yamefanya jeshi la Russia kuwa defensive zaid.

yafuatayo ni matokeo ya Counteroffensive ya UKRAINE hadi kufikia 1 october mwaka huu.

Counteroffensive in Kharkiv:
8,700 km² zimekombolewa

Counteroffensice in Donetsk/Luhansk:
2,400 km²

Counteroffensive in Kherson:
1,800 km²

Overall:
12,900 km² zimekombolewa kurudishwa Ukraine.

takwimu hizi zinafanya jeshi la russia kupoteza zaid ya askari 60000. tangu kuanza kwa oparation vita hii.

Source.
1. RUSSIAN MEDIA CONFESSED
2. MDU.
 
Marekani inapeleka himars zaidi baada ya kuleta matokeo chanya. Himars za mamia ya mamilioni ya dollar zaelekea Ukraine 🤔
 
Marekani hahitaji kutumia reserve kuuza mafuta hivyo hawezi ishiwa reserve. Reserve ni kwa ajili yake tu, uzalishaji kwenye rigs zake ndio hutegemea demand kwenye soko la dunia. Na bado hazalishi sana kuuza mpaka vita hii ilipoanza ndio akaanza kuongeza mauzo nje. Marekani kwa sasa ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani na anaweza toa hata mapipa milioni 15 kwa siku ila uzalishaji wake huwa ni wa gharama kubwa kuliko nchi kama Saudi Arabia ambayo mafuta yake hayatumii nguvu kuyapata wala kuyasafisha.

Ili Marekani azalishe sana anahitaji kujiandaa kwa mitambo na aingie gharama ambazo zinakuwa breakeven kwa miezi au miaka kadhaa. Hivyo ni risk kwake kuongeza uzalishaji kila bei ya mafuta inavyopanda. Yani huwezi mwambia Bakhressa ajenge kiwanda cha unga kingine kisa msimu huu mahindi yamezalishwa mara tatu yake, msimu ukiisha itakuaje atakuwa karudisha gharama za uwekezaji, au kuna demand itakuwepo baada ya huu msimu?

Na Marekani wakati mwingine anatumia fracking technology ambayo ni expensive ila anayo yeye tu ili nchi za kiherehere kama Saudi zikimbania mafuta asikome. Sasa OPEC+ kwa kawaida yao hucheza na soko la dunia, hawataki bei ya mafuta ishuke hivyo hulazimisha wazalishe kidogo kutengeneza uhitaji ili bei ipande. Wakizalisha sana wanatengeneza ziada ambayo itashusha bei. Ila kuna nchi kama Iran na Venezuela zinaweza ingia mikataba kinyume nao, na kulingana na taarifa hiyo ni kwamba Russia na Saudi tu ndio wamekubaliana labda wasubiri mkutano mwingine wa OPEC+ maana wao ndio wana kauli kubwa.

Wala India haiwezi kuwa hub leo au kesho. Viwanda hawajengi tu kisa kuna crisis mwaka mmoja, kuna uncertainties nyingi zinazingatiwa na lazima India iwe na conducive environment kuliko nchi nyingine. Mafuta ya dezo ya msimu mmoja hayawezi wafanya kina Pfizer na Moderna wakajenge factories India. Hata hii China wazungu na Wamarekani wanapenda sana wahame ila wataenda wapi? Nchi zinazokaribia ni India, Vietnam na Mexico ila hazina competent labour, usafirishaji wa uhakika na gharama nafuu (China ndio inaongoza duniani), internal market, n.k. Hapo kwa kiasi fulani China anafaidika yeye tu.

Uzalishaji wa Ulaya utapungua na hii ni crisis wanapitia ila wakitoka hapa Russia asahau kuwauzia gesi na mafuta. India na China zitaendelea kununua at discounted prices zipige hela, waliokuwa na vikwazo kama Venezuela na Iran watapewa fungulia mbwa wazalishe mafuta mengi, lobbying zitafanyika mafuta yawepo tu huwezi sumbua EU na Marekani kwenye nishati wakakosa namna ya kukuzunguka. Oil crisis ya early 1970s ilikuwa kubwa zaidi ya hii ila Marekani alivyotoka hapo alibadilisha mifumo mingi duniani.

Mambo sio mepesi ila ni magumu
 
Marekani ilifanya mobilization mwaka 1941 wanajeshi wakawa tiyari mwaka 1943. Na hapo walikuwa na kila kitu sio kama hawa ambao hata vitu basic wanapungukiwa. Kuandaa battlegroups sio kazi rahisi hata kidogo, kwa utaratibu wa Soviet Union ilikuwa rahisi kwa kuwa doctrine yao ilikuwa ni kuwa na maofisa wengi na battlegroups nyingi za kambi nyingi empty, ikitokea vita wanaita vijana wanajaza hizo nafasi mafunzo yanafanyika. Baada ya USSR kuanguka Russia alikosa hela ya kuendelea na utaratibu huo expensive. Kwa sasa kuandaa mobilized men wawe tiyari kwa miezi miwili haina matokeo mazuri. Tusiongee sana tutaona matokeo frontline.

Sasa kama special forces VDV walipigwa pale Battle of Hostomel, wakaja Spetnaz group gani hapo juzijuzi wakapigwa. Hawa wengine ndio itakuaje.
 
Hujui mambo ya kiuchumi. Unadhani Debt linaliowa kwa dollars!?

Hebu soma hapa kidogo upate akili

Often, I hear this idea that we should just print more money. In the face of growing inflation and a rapid decline in supplies, printing money seems like a magical solution to make everyone wealthy and eliminate poverty. Everyone would have more money and therefore be more affluent, right?

In actuality, printing money is contrary to the most basic principles of economics. Economics is based on the idea of supply and demand. If we printed more money, there would be an artificial overabundance of demand – money – but the supply of goods would not increase at the same rate.

What results is dangerous inflation. Prices would increase to a level where the newfound money would be worthless.

This situation has happened time and time again throughout history.

After World War I, the Weimar Republic established in Germany printed ridiculous amounts of money to deal with their financial crisis. The German mark, their form of currency, became so worthless that people would use it as wallpaper and firewood because the currency was cheaper than those goods. One loaf of bread cost half a mark in 1918, but the price rose to 200 million marks by 1923.

More people had money to buy things, but there was only so much supply, so prices increased. The newly-printed money they found lost value and did not allow for everyone to buy goods.

The consequences are clear: printing money drastically raises prices and lowers people’s purchasing power and savings.

Even today, with gas prices and everyday items at extreme highs, printing money and dispersing it into the pockets of consumers would raise the supply of money yet also raise the prices. The money would become useless.

People don’t just magically become wealthy. The U.S. dollar is a piece of paper. It is not backed by a precious metal like gold or silver.

A new idea in economics, according to Investopedia, is that of Modern Monetary Theory (MMT), the belief that a well-established government like the United States can print money or take in excessive amounts of debt to operate the government.

Congresswoman Alexandria Ocasio-Cortez, who has an economics degree from Boston University, appeared to advocate for MMT when she said the United States should “break the mistaken idea that taxes pay for 100 percent of government expenditure,” instead supporting deficit spending.

With a national debt at almost $29 trillion, the United States seems to have turned to MMT. It is impossible for our country to pay that back. America’s spending spree began in the 20th century starting with Woodrow Wilson all the way to Donald Trump, and the trend will continue with President Biden.

The United States’ financial practices have been incompetent, and printing money is a way they have exercised this ignorance. Despite politicians’ efforts to create an economic utopia where everyone has money, it is futile and, characteristic of a utopia, unattainable.

Poverty can never be eliminated. There will always be people with higher purchasing power than others. Printing money cannot eliminate this gap because the economic consequences of printing money is not an increase for financially stable people, it is higher prices and inflation.

The old saying stands true “Money doesn’t grow on trees.” The United States is operating under dangerous financial practices. “Why don’t we just print more money?” is a hazardous question.
 
🇸🇦 Saudi Arabia and other oil exporters are ready to announce a significant reduction in oil production at the OPEC+ meeting in Vienna on Wednesday, the Financial Times reports, citing sources.

▪️ According to the publication, Saudi Arabia seeks to raise oil prices in order to "anger the United States and help Russia."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…