Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unataka nikupatie mifano ya waliosoma Harvard wakati comment yako nzima hujatoa mfano wa Doctor yupi au Engineer yupi aliyesoma Russia akaleta manufaa.Hebu kwanza onyesha mfano halisi wewe then nitafuata.
 
Dprk hawana meno. Kutwa kurusha rocket zinaishia baharini.
How about warushe ikapige mahali?
 
Quantity Vs Quality
 

hili eneo wangelifanya kuwa la Mwisho banaaa. ikiwezekana wakitoka crimea ndo waje hapa.
 

Source: Hakya Mungu. Sidanganyi. [emoji23]
 

jeshi la Ukraine wameanzisha kampen ya “ Imagine you can surrender “ pamoja na kampeni ya “i dont want to die like this“

so sishangai nafkiri hii kampen haya ndio matunda yake.
 
Unataka nikupatie mifano ya waliosoma Harvard wakati comment yako nzima hujatoa mfano wa Doctor yupi au Engineer yupi aliyesoma Russia akaleta manufaa.Hebu kwanza onyesha mfano halisi wewe then nitafuata.
Mbona umetajiwa hapo yupo doctor Dorothy gwajima yupo professor mbarawa yupo agrey mwari na ukichunguza Kwa makini utajua waliosoma rasia ni watendaji wazuri yupo pia lukuvi
 
Thought kum-kichwa ☹️

Lau kama wazee wetu hawa wangekuepo wakajionea kizazi walichokipigania kukikomboa kifikra kinavyo shupaa kuuza utu wao kwa msaada wa Condom na ARV, basi nyoyo zao zingepasuka kwa ghadhabu.

Your browser is not able to display this video.


Wapumzike kwa amani huko waliko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…