Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Ukiwa unajadili uwe na references wamesoma Urusi
1. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima
2.Dr. Charles Stephen Kimei
3.Dr. Pindi Hazara Chana

Nakupatia hawa wachache. Nakuletea wengine
 
Sasa wakicut production wanamkomoa Nani ? ,US Hana shida tena wanakuwa wamempa laverage ya kuzalisha mafuta Kwa wingi ,ikumbukwe USA ndio producer mkubwa WA mafuta duniani , sasa na Ile technology yake ya Fracking ingawa ni expensive Ila BEI ya mafuta kw soko la dunia ikiwa juu si ni Sawa na kumpiga chura teke Maana anaweza zalisha akawauzia EU in the mean time yeye ana reserve kubwa ya mafuta kwake ana release na kuuza kw soko lake la ndani ili kuondoa inflation
Mkuu Kwa akili hii hata upewe Duka kubwa kiasi gani litafilisika,

Labda nikuulize ulishawahi kusikia kwamba marekani inashida wa kupata wateja WA kununua mafuta yake?????

Ushawahi kujiuliza mzalishaji mkubwa wa mafuta ni USA lakini kwanini bado ananunua mafuta kutoka nje ya nchi yake????

Ukipata majibu hayo ndiyo utajua kwanini hili la kupunguza mafuta limesababisha biden kulaaani
 
Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Nitajie mtu ambaye amesoma Marekani na elimu yake ikaleta manufaa kwa Tanganyika?

Ni walevi ila akiwa daktari basi atakuwa daktari bingwa ambaye ataokoa roho nyingi za wananzengo na jumuiya nyingine

Atakuwa Engineer na kujenga madaraja mengi yenye ubora na viwango.

Akiwa Mhasibu ujue ataboresha mifumo ya mapato na makato.

Haya niambie waliosoma Havard na Yale University wamefaidisha nini Taifa?
Ukitumia mfano wa nyoka makengeza[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
OPEC+ does not succumb to US pressure, and now the UAE intends to support Russia and Saudi Arabia in their plans to reduce oil production.

This is reported by the Financial Times.

Earlier, CNN reported that the US considers such a plan a "complete disaster" and a "hostile act." The Biden administration is putting pressure on OPEC+ countries to prevent a reduction in oil production.

Subscribe to @Sputnik
View attachment 2378140
Naona unafurahia jinsi shemeji yako anavyozilimizia hasira za kupanda kwa bei ya kiwese kitandani kwakwe , wakati umelala kwenye kochi sebuleni....
 
Naona unafurahia jinsi shemeji yako anavyozilimizia hasira za kupanda kwa bei ya kiwese kitandani kwakwe , wakati umelala kwenye kochi sebuleni....
Ndio nipo sebleni kwa shemeji yangu nimeshika remote nasubiri chapati za maji na rost maini nipate msosi nikawashe kiyoyozi nilale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we umelala store mda huu unawaza kumkimbia mwenye nyumba alfajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20221006-020930.jpg
 
Kiwango cha wanajeshi wa Urusi kujisalimisha kwa vikosi vya Ukraine kimeongezeka sana kipindi hiki. Warusi wameonekana wakinyanyua bendera nyeupe kama ishara ya kusalimu amri 🤔
 
Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Ni huo ndio ukweli hakuna kipanga aliyepelekwa Russia. Makapi yenye uwezo mdogo wa akili ndiyo yalikuwa yanadampiwa huko.

Eti kijana wa Kitanzania upate division one halafu ukadampiwe Russia, complete BS! Na wale walioenda Russia zaidi ya nusu walirudi wakiwa walevi wa kupindukia

Russia ni moja ya nchi iliyokuwa ikipeleka vijana wengi kusomea Marekani kila mwaka ikitanguliwa na China.
 
Funny Thought [emoji1787]

Nasikia Kim kapitisha Ballistics kwenye anga la Japan, nao South Korea na US's warplanes wanafanyaa bombing exercise kama majibu ya kitendo hicho.

View attachment 2376921

Kwenye map ukiitazama North Korea na sehem Japan ilipo unaona wazi kabisa Kim hana hata ile nukta ya uoga. Hilo ballistic limetoka North Korea hapo kulia limevuka sea of japan na Japan yenyewe likaenda dondoka upande wa pili kwenye Pacific Ocean.

Sasa...

"Vipi kama viongozi wa BRICS wangekua ni Patrushev awe kule Brazil, Medvedev upande wa Russia, Kadyrov wamkabidhi India, Kim mashavu asimame hapo China kama mbadala wa Xi Jinping na Mimi hapa niende South tukiwashe dhidi ya hawa mapimbi wa collectives "small culture" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

Ase tungeshuhudia mengi mno ya kizazi hiki...

Nawaza tu [emoji188][emoji188][emoji188]
Rudi shuleni
 
Kiwango cha wanajeshi wa Urusi kujisalimisha kwa vikosi vya Ukraine kimeongezeka sana kipindi hiki. Warusi wameonekana wakinyanyua bendera nyeupe kama ishara ya kusalimu amri [emoji848]

Sahivi ukraine wameanzisha campain inayoratibiwa na jeshi kuwasaidia majeshi ya russia yanayo taka kusalimu amri. ukiona kamanda wa kikosi chako cha russia anazingua unaingia kuna app inayoongozwa na jeshi inaitwa I DONT WANT TO DIE.
pale kuna namba za simu. ukipiga wanakuelekeza mahali pakisimama wakati wa shambulio na namna watakutambua.
campeni hii imesaidia sana kupunguza vifo vya warusi.
 
Back
Top Bottom