Funny Thought 🤣
Nasikia Kim kapitisha Ballistics kwenye anga la Japan, nao South Korea na US's warplanes wanafanyaa bombing exercise kama majibu ya kitendo hicho.
View attachment 2376921
Kwenye map ukiitazama North Korea na sehem Japan ilipo unaona wazi kabisa Kim hana hata ile nukta ya uoga. Hilo ballistic limetoka North Korea hapo kulia limevuka sea of japan na Japan yenyewe likaenda dondoka upande wa pili kwenye Pacific Ocean.
Sasa...
"
Vipi kama viongozi wa BRICS wangekua ni Patrushev awe kule Brazil, Medvedev upande wa Russia, Kadyrov wamkabidhi India, Kim mashavu asimame hapo China kama mbadala wa Xi Jinping na Mimi hapa niende South tukiwashe dhidi ya hawa mapimbi wa collectives "small culture" 🤣🤣🤣...
Ase tungeshuhudia mengi mno ya kizazi hiki...
Nawaza tu 👣👣👣