Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Vladimir Putin instructed to take the facilities of the Zaporizhzhya NPP into federal ownership.
Sasa wakicut production wanamkomoa Nani ? ,US Hana shida tena wanakuwa wamempa laverage ya kuzalisha mafuta Kwa wingi ,ikumbukwe USA ndio producer mkubwa WA mafuta duniani , sasa na Ile technology yake ya Fracking ingawa ni expensive Ila BEI ya mafuta kw soko la dunia ikiwa juu si ni Sawa na kumpiga chura teke Maana anaweza zalisha akawauzia EU in the mean time yeye ana reserve kubwa ya mafuta kwake ana release na kuuza kw soko lake la ndani ili kuondoa inflationYaani parefu hasa natarajia super power wa rainbow atafidia
Na kipondo kiendelee ,nawasalimu Kwa jina la kipondoNI KICHAPO TU
A hotel with Russian FSB officers and high-ranking military officials inside has been struck in the temporarily occupied city of Kherson.
The relevant statement was made by Kherson Regional Council Member Serhii Khlan on Facebook, an Ukrinform correspondent reports.
“So, the Russian occupiers who enjoyed a sauna and swimming pool ended up in a bad way. Today Ninel Hotel in Kherson has been struck, where FSB officers and high-ranking military officials liked to spend time,” Khlan wrote.
According to local residents, seven Russian occupiers were reported killed, namely five FSB officers and two high-ranking military officials.
Local Telegram channels are posting the photographs of the building destroyed.
According to local residents, seven Russian occupiers were reported killed, namely five FSB officers and two high-ranking military officials.
Local Telegram channels are posting the photographs of the building destroyed.
According to Kherson publication Most, the hotel, situated in the central part of the city, was struck around 03:00 a.m., October 5, 2022
URAAAAAAH [emoji482][emoji482][emoji482]
Madhalimu yanaanza kutajana.
Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.Duh...aisee...hii comment ya ajabu kwelikweli...Kama ulikuwa hujui elimu ya Russia ni miongoni mwa elimu Bora kabisa duniani...Russia inaongoza kwa elimu ya sayansi na hasa physics na mathematics..kwa philosophy pia iko juu....
Elimu ya West nayo ni 'Nzuri' [emoji23][emoji23] na hasa kwenye maeneo Kama Mt. Kilimanjaro ulivumbuliwa na mzungu...USA ndiyo leader wa demokrasia[emoji1787][emoji1787]
Hao ni warusi weusi mkuu, ila kina abramovich watoto wao walipeleka new york na londonHapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Hao wanyama wamekuzidi akili kiasi kwamba hawawezi kusapoti Mapenzi ya jinsia moja.Ndugu yangu FUSO, anaweza kujaribu lakini hatapewa hiyo fursa na watakaompiga stop ni hao hao watu wake. Kubonyeza kitufe cha nuclear si rahisi kama tunavyofikiria na aking'ang'ana anaweza hata akala shaba kichwani kutoka kwa hao hao watu wake.
Hiyo ndiyo tofauti ya mnyama wa porini na binadamu, binadamu ana akili na, kabla ya kitendo chochote chenye madhara makubwa kama nyuklia, anapima hali na sababu lazima iwepo ya kutosha. Hilo ndilo somo Hiroshima ma Nagasaki zilituachia.
Kutishia kwamba nitatumia nyuklia ni namna moja au nyingine ya kuinua mkono na kukiri umepigwa na huwezi tena kuendelea na vita. Nikifikiria jumla ya mikwara aliyotoa huyo Putin toka aivamie Ukraine mwezi wa February mwaka huu, duh! Mbona haina hesabu!
Kwani huna rafiki yako unayemkubali?Kama Medveded ni mwanaume kweli alishindwaje kubakia madarakani mpaka akamuachia Putin na kuwa Kibaraka wake? Na hatimaye Put In amemtema mbali sana!!
😂 😂Africa tumeshikwa makende
tulisema hapa ... just because kenya we wanted to buy cheap Russian oil
View attachment 2378268