Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

kinachositikisha sana kabla hajakimbia atakuwa kaua warusi wenzake kwa mamia mamia... maana kabla hajakimbia ni lazima atajaribu kutumia nuclear kujaribu kujinusuru...
Ndugu yangu FUSO, anaweza kujaribu lakini hatapewa hiyo fursa na watakaompiga stop ni hao hao watu wake. Kubonyeza kitufe cha nuclear si rahisi kama tunavyofikiria na aking'ang'ana anaweza hata akala shaba kichwani kutoka kwa hao hao watu wake.

Hiyo ndiyo tofauti ya mnyama wa porini na binadamu, binadamu ana akili na, kabla ya kitendo chochote chenye madhara makubwa kama nyuklia, anapima hali na sababu lazima iwepo ya kutosha. Hilo ndilo somo Hiroshima ma Nagasaki zilituachia.

Kutishia kwamba nitatumia nyuklia ni namna moja au nyingine ya kuinua mkono na kukiri umepigwa na huwezi tena kuendelea na vita. Nikifikiria jumla ya mikwara aliyotoa huyo Putin toka aivamie Ukraine mwezi wa February mwaka huu, duh! Mbona haina hesabu!
 

USS GERALD R. FORD AIRCRAFT CARRIER STRIKE GROUP DEPLOYING TO NATO​

04
USS GERALD R. FORD AIRCRAFT CARRIER STRIKE GROUP DEPLOYING TO  . . . NATO

The Gerald R. Ford-class aircraft carrier USS Gerald R. Ford (CVN 78) departed Naval Station Norfolk, on Oct. 4.
The Gerald R. Ford Carrier Strike Group (GRFCSG) is deployed to conduct operations alongside NATO Allies and partners to enhance integration for future operations and demonstrate the U.S. Navy's commitment to a peaceful, stable and conflict-free Atlantic region.
The Gerald R. Ford Carrier Strike Group (GRFCSG) deployment includes:
Carrier Strike Group (CSG 12),
Carrier Air Wing 8 (CVW 8)
and Destroyer Squadron (DESRON) 2.
Deploying with the group will be Ticonderoga-class guided missile cruiser USS Normandy (CG 60); the Arleigh Burke-class guided missile destroyers USS Ramage (DDG 61), USS McFaul (DDG 74), and USS Thomas Hudner (DDG 116); the Legend-class national security cutter USCGC Hamilton (WMSL 753); the Henry J. Kaiser-class fleet replenishment oiler USNS Joshua Humphries (T-AO 188), and the Lewis and Clark-class dry cargo and ammunition ship USNS Robert E. Peary (T-AKE 5).
A sitting duck
 
Machawa wa Putin wanazidi kumjaza upepo [emoji16]

Si wajaribu hiyo kitu Ili waone moto wake..,wataishia kuongeaongea mpaka lini Sasa.., marekani na washirika wake washaliweka wazi hili..,endapo fashisti Putin atajitoa akili katika hili atasimulia mbinguni [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Majimbo manne yameingia rasmi Leo kwenye serikali ya shirikisho ya Russia.
 
Machawa wa Putin wanazidi kumjaza upepo [emoji16]

Si wajaribu hiyo kitu Ili waone moto wake..,wataishia kuongeaongea mpaka lini Sasa.., marekani na washirika wake washaliweka wazi hili..,endapo fashisti Putin atajitoa akili katika hili atasimulia mbinguni [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Коридор Север-Юг является стратегически важным для России.

Собрали главные заявления президента Российского зернового союза Аркадия Злочевского:

[emoji3502] Россия нацелена на расширение поставок своих продовольственных товаров на юг, в частности, в направлении Персидского залива.

[emoji3502] Созданная в Азербайджане и Иране логистика уже сейчас помогает с поставками российского продовольствия.

[emoji3502] Слишком крепкий курс рубля создает проблемы для поставщиков российских продовольственных товаров. Но это временное явление, ситуация исправится в ближайшее время.

Российский зерновой союз в эти дни проводит в Баку XII Международную зерновую торговую конференцию "Global Grain Outlook".

@AzeSputnik
 
fracking technology ambayo ni expensive ila anayo yeye tu

Hem iongezee nyama hii MKUU ingawaje kwenye kuhama hapa kampuni baadhi zishaanza kuhama EU kuelekea UCHINA na INDIA acc to DW

nasababu kubwa wanaelezea gharama za nishati sababu yamgogoro wa UKRAINE na RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fracking ni kemia ya hali ya juu kidogo, mchanganyiko wa gesi ambazo nyingine si nzuri kwa mazingira. Wanasukuma huo mchanganyiko kwenye miamba yenye mafuta na kuipasua kuchukua vipande (shales) kukamua mafuta. Ni kama wanalazimisha mafuta machanga au deposit isiyotuama.
Mpaka hapo ushaona ilivyo expensive, makampuni yanayofanya hivyo huchukia bei ya mafuta ikishuka maana hawafikii breakeven. Ukiuza mafuta kwa labda $80 kwa pipa wa fracking hawaitumii mpaka angalau wajue uhakika wa kitu kama $105 hivi kwa pipa.

Inachafua hewa na kuchafua vyanzo vya maji ardhini
 
Back
Top Bottom