Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Putin alilewa sifa baada ya kuchukua Crimea na mataifa ya magharibi kumnyamazia akaona ndo kamchezo akataka kumega Donbass na Luhansk sasa safari hii wenzake wamekataa kukaa kimya maana wakikaa kimya ndo itakua kamchezo Ka kila Taifa lenye nguvu kunyakua eneo la jirani yake dhaifu na kusema ni sehemu ya nchi yake. Matokeo ya hizo referendum hayatabadili kitu maana jamii ya kimataifa ikiwemo Marekani na mataifa mengine hawatambui hayo maeneo kama sehemu ya Urusi hivyo ni ruksa kwa Ukraine kuyashambulia licha ya Putin kutishia nyuklia kila kunapokuchwa.@Pietro umekua na hoja zaajabu sana ujue mzeee
Matokeo ya counter offensive kufanikiwa kwake kulitakiwa hii kura isiwepo yaani iwe kura haiendelei ama haiwezi fanyika hapa hata sisi pro PUT IN tungejua kweli mmepambana ila unasema matokeo ya kaunta wakat nchi inamegwa huko na hamna lakufanya sasa hayo matokeo c yanakua yamefeli ama unadhani matokeo yakushambulia nikutaka ushinde (rrferendum isifanyike) ama ushindwe (referendum kufanyika nanasikia saa 10 jioni matokeo)
Sasa hapa kuna uhusiano gani wa referendum na hayo maeneo kutokuchukuliwa mapema
Kama uwezo wakuyachukua wanao watayachukua ama wayachukue haijalishi kuna ref ama hakuna sababu LPR iliondoka mapema tu na zaporinhe mapema tu wahii SVO
Hayo maeneo licha ya kwamba wamagharibi hawatayatambua kujitenga kwake ila nakuhakikishia hayatakaa yarejelee UKRAINE
Kwan kuna taifa la magharibi lilitambua ref ya CRIMEA ila ile sinisehm ya RUSSIA namaisha yanaendelea kwaku like or not
Ili UKRAINE airejeshe CRIMEA na sehem zinazoondoka leo nilazima aingie total war na RUSSIA jambo ambalo hataweza hata siku moja hasa akiwa mwenyewe
Hii ishu yakutegemea kwamba UKRAINE anapigana akiwa kwake halaf mtegemee kukomboa sehem musahau
:-RUSSIA hashindwi na hajashindwa wala kuchelewa kuchukua eneo lolole ila anaenda kwautaratibu maalum kama angetaka kubeba hayo maeneo kama mnavyotaka leo msingelishuhudia ref huko LPR na DPR pamoja na sehem nyengine za UKRAINE
:-Ninavyoamini mie kuhusiana na ODESSA yaani RUSSIA hatakama yuko na malengo gani maadam kaamua kuimega UKRAINE sidhanii kama atakua kaimega vyema kama akiwaachia ODESSA yaani lazima aondoke na ODESSA kwagharama yeyote ile ila sio kwamuda wowote ila nikupitia hii SVO
Ninachoamini mie kituo kinachofuata ODESSA ila muda utaamua ila RUSSIA kwenye hii SVO hajakurupuka kaenda kwamahesabu kawaprove wrong mlitaka aiteke KIEV angetumia rasilimali nyingi OP ingemshinda akaona aanze kubeba strategic place ambazo pia zitafanya SVO iendelee kupitia huko aliko pateka ntaambatanisha na maeneo aloteka nafaida zake uonr ndugu mmoja hapo kapost Qibsyl
[emoji116]
[emoji635] [emoji1255] On September 27, referendums on the accession of the Liberated territories of Ukraine to the Russian Federation end. And the procedure for their admission to the Russian Federation may take place on September 29.
We analyze what Ukraine is losing:
[emoji188] Regions in which referendums are held have rich black soil, mineral deposits, developed industry, large economic, industrial and human potential, developed mining industry, transport and industrial infrastructure.
[emoji188] Until 2014, only Donetsk and Lugansk regions together accounted for 16% of Ukraine's GDP.
[emoji188] Integration of agricultural regions (Zaporozhye and Kherson regions) will turn the Russian Federation into the largest player in the grain market;
[emoji188] Odessa actually remains the only access point of Ukraine to the sea (at the same time, Odessa remains in the sphere of interests of the Russian Federation);
[emoji188] Ukraine is losing about 9 million people, and taxpayers in uncontrolled territories will move into the Russian legal field.
As you can see, the situation is amazing, but at the same time, no one is talking about the future arrival of winter, when the lack of energy resources and other economic difficulties will force European countries to radically reconsider their policy of supporting Ukraine.
[emoji91] Yet akili ndefu wa JF wanadai Ukraine is winning.
Mwisho:-siamini kama hii SVO inaweza kua imekamilika ama itakamilika bila ODESSA kuondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mpaka sasa mwezi wa nane tangu vita ianze ameshindwa kuteka Donbass yote mpaka kaamua kuita jeshi la kuita lije kusaidia ndo ataweza kuichukua Odessa kipindi hiki ambacho Ukraine wana Makombora hatari ya Ant ship kama Harpoon?!