kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kichapo kinaendelea mpaka mtu anaishiwa pumzi [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji298]️ Ukraine’s military has liberated over 2,400 square kilometers in Kherson Oblast.
Deputy Head of the President’s Office Kyrylo Tymoshenko reported on Oct. 7 that Ukraine has also evacuated 22,118 civilians, including 3,531 children, from Russian-occupied parts of the region.
Kwa hiyo unataka kumpangia cha ku post...Hizi habari unaziokota wapi, huoni aibu kila wakati kukopi na kapaste
Unajaza uzi na server ya jf copy and paste
Haina source Wala ufafanuzi wa kile ulichoelewa.
Badilika mkuu
Kazi inaendelea kama kawa.... 🍻🍻🍻Pia wanajeshi wake walio field. Imagine upo field milio ya risasi halafu unasikia aliyekutuma anafanya birthday party. Kama binadamu itakukera.
Hiyo inaonyesha Putin anawaamini askari wake, na wao wanamuamini!!! Mpaka hapa wote wanaoiunga Mkono Ukraine wanatamani wapasuke kwa dharau wanazoonyeshwa na Russia. Yaani Russia ana liquidate propaganda za Ukraine na West kwa psychological torture ya Hali ya juu.Pia wanajeshi wake walio field. Imagine upo field milio ya risasi halafu unasikia aliyekutuma anafanya birthday party. Kama binadamu itakukera.
Kila jukwaa Lina standard zake fb tele nk, ni vizuri ukapost kulingana na standard ya jukwaaa husika .Kwa hiyo unataka kumpangia cha ku post...
Je, wewe unavyo post haujazi hiyo server ya JF..?
Kwa huu mtazamo wako upo sawa ila unaweza itazama kwa mtazamo huo na mwingine akaona tofauti.Hiyo inaonyesha Putin anawaamini askari wake, na wao wanamuamini!!! Mpaka hapa wote wanaoiunga Mkono wanatamani wapasuke kwa dharau anazoonyeshwa na Russia. Yaani Russia ana liquidate propaganda za Ukraine na West kwa psychological torture ya Hali ya juu.
Ebu fikiria watu wanakimbizana kupata nishati kwa ajili ya winter huku Wana lazimishwa kuisaidia Ukraine kw silaha na fedha wampige Russia. Pia wengine wanatumia shehena ya silaha na nyingine wanazipa Zawadi eti zinafanya vizuri' kibiashara na hela wanatoa kuwapa Ukraine. Wengine wamigikia hatua ya kulipua bomba la gesi , Lengo kuu eti wampige na kumkomoa Russia.
Sasa watu wanapigwa na butwaa Putin anaangusha party ya nguvu na anazawaduwa trekta la 150HP! Lazima wachoke.
Wazee wa domo la kirasia na uwa la nzi 😂 ah sorry demokrasia na uwazi.Kwa hiyo unataka kumpangia cha ku post...
Je, wewe unavyo post haujazi hiyo server ya JF..?
Je, ni wapi na lini umekatazwa kukopi habari na kuja ku paste hapa?Kila jukwaa Lina standard zake fb tele nk, ni vizuri ukapost kulingana na standard ya jukwaaa husika .
sio tu kupost ovyo ovyo
Kila mtu akiamua kukopi tu kila habari bila source na bila ufafanuzi wa uelewa then akajaza humu itakuwaje ?
Itakuwa Haina maana ya Jf of Gt
SMO ama aina nyingine ya military operation inahusisha hardware na software ikiwemo psychological warfare.Kwa huu mtazamo wako upo sawa ila unaweza itazama kwa mtazamo huo na mwingine akaona tofauti.
Mfano, unachukuliaje waziri kwenda kuwafariji raia wasio na chakula akiendeshwa na gari ya m400?
Okey bossSMO ama aina nyingine ya military operation inahusisha hardware na software ikiwemo psychological warfare.
Suala la chakula na 400m vehicle unaweza kuwa sahihi pia kwa muktaza huo.
Himars kama Himars [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto wangu WA Kwanza nitamuita HimarsIlitegemewa, na kwa sasa nchi nyingi zitakuwa zinajiandaa kupeleka order...
Nakwambia kuna jitu linapigika kama Ngoma huko ni balaa ,Device of the year
Halafu kuna pimbi analinganisha hizi mashine na mavyuma chakavu ya mwaka 1947 yaliyotengenezwa na wanywa gongo wa VladivostokDevice of the year
Ndugu wewe mwenyewe binafsi huoni aibu ku.mkosoa mwenzio kwa kile ambacho huna uelewa nacho?!Hizi habari unaziokota wapi, huoni aibu kila wakati kukopi na kapaste
Unajaza uzi na server ya jf copy and paste
Haina source Wala ufafanuzi wa kile ulichoelewa.
Badilika mkuu
Ni kuwachoma ndafu Tu au mishkaki pimbi hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuliwaaambia hapa aibu itakayompata Putin na genge lake ni kubwa mnoo hawakuekewa sasa hivi akili zimeanza kuwaingiaHichi kipigo huyu mbwa hawezi kusahau kabisa wanakufa kama mapaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GoodKazi inaendelea kama kawa.... [emoji482][emoji482][emoji482]