Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, nakukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba: linapo kuja suala la kuweka mikakati ya kupigana vita bila ya kukumbwa na hasara/vifo vya kijinga mara zote utakuta kwamba ukitumia logic utahepukana na changa moto nyingi, this is preciously what Russian military is doing, namely: minimising unneccessary loses.
Kwa hiyo Ile ya Lyman ambapo wanajeshi wa Russia walivyokua wamezidiwa wakaomba waondoke wakakatàliwa mateka wakawa wengi ni mbinu ya kivita ndugu mwanajeshi
 
Habari za frontline hakuna mnaleta articles za OIL [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221007-174254.png
 
Naon watu wanapitwa na headlines, kiufupi vita imefikia stalement,, inakaa kama Russia aliamua kutoenda beyond mto Dniper, ndo maana alilndoa jeshi ktoka nje ya mji mkuu wA ukraine , kiev,, concentration sasa ni mji wa bakhmut, mycolaiv kisha mji bandari wa Odesa
Karibu mkuu, tulimiss nondo zako

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tazama wanavyo chapwa wanakimbialia mashimo kama panya buku aisee ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Eng... Soma hiyooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2379966

Dah hiyo first comments jamaa kajaa nyembe kama Vi-proNATO vya JF. Havipendi kuambiwa ukweli [emoji1]

Sasa kama hapo kosa la Julian ni nini, Stupid khokhol trolls wanapata tabu sana.

wamebaki kuokoteza viscreenshot vya comment maana ground maji yamezid unga tayar.
 
Tazama hapa walivyochapika aisee jamaa hii vita haiwezi tena kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Putin kiboko Leo anaangusha bonge la happy birthday party yake huko Russia. "What a psychological torture" kwa Ukraine na wale wanaoshabikia Nazis! Atawamaliza kwa frustration na streses...ha ha haaaa!
 
Back
Top Bottom