Mnacho sahau ni kwamba jeshi la Ukraine liliachiwa silaha nyingi za Urusi baada ya kupewa/pata uhuru kamili kutoka shirikisho la Kisoviet hivyo si rahisi kutofautisha silaha zinazo tumiwa na Ukraine na silaha
Hapo ndio mnapo shangaza kidogo, nani kasema Dunia ni US,UK,UN na EU??
Sijui background yako,lakini ungekuwa walao umepitia jeshini usinge shangaa kusikia neno tactical withdraw - ni jambo la kawaida kwenye medani za vita hata siku moja hiyo haimanishi kwamba Warusi wameshindwa vita, hizo ni majawapo ya mbinu za kushinda vita kwa kushtukiza - Zelensky forces won't even have enough time to repent their sins before joining their MAKER up above in the blue SKY. Putin namba nyingine kabisa - hata Biden amelazimika kubadiri kiswahili hivi sasa Biden anasema Putin yuko serious hatanii, eti, we sikiliza usanii wa Biden alivyo wa ajabu na mwoga kama nini, kasema,eti, inaelekea Putin maji yamekwisha mfika shingoni hivyo NATO/US wantafutie njia ya kutokea hasije akapata aibu na kudhalilika - uongo mtupu - ukweli wa mambo wanao pata hasara kubwa kwenye sakata hili ni NATO/EU na Merikani yenyewe wameunguza matrillion ya USD kujaribu kusadia jeshi la Ukraine kupambana na jeshi la Putin, mpaka sasa mafanikio ni dismal kabisa save vijiji vichache ambavyo jeshi la Putin liliviacha makusudi kumchota akili Zelensky na majenerali wake wa kuokoteza.