Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia held a general rehearsal in many of its cities early this morning, including Moscow of its laser defence shield

It's called Peresvet and it's said to blind military satellites and incapacitate drones

Putin was not kidding
If you are in Russia send us picture of your area
IMG_6945.jpg
 
Jeshi la Ukraine:
Idadi ya vifaa ilivyopokea toka nchi za Ulaya/US vs vifaa ilivyovikamata toka jeshi la Urusi
Ukraine’s rapid breakthrough in the Kharkiv Oblast a month ago ended up putting hundreds of pieces of Russian armor into Kyiv’s hands as the Russian army left behind its heavy weapons and warehouses of supplies in a disorganized retreat.

#UkraineWillWin
View attachment 2379603
Hiki kipeperushi kimenikumbusha mbali😀😀😀kuna mtu anaweza kutoa data exactly na Urusi au Ukraine.
Ni throw back msinipopoe.
Happy birthday king Putin live long.
 
Logic ndio inatumika kuchambanua mambo, hata mimi ningekuwa Generali wa jeshi la Ukraine ningeshituka kuingia sehemu ya maadui nikakuta wote wanesepa na kuacha behind baadhi ya zana za vita - Generali mwenze akili zinazo chemka atajua tu kwamba huo ni mtego wa panya na kusita kuruhusu jeshi lake kuingia kichwa kichwa - Warusi mabingwa sana katika usanii wa kuwawekea mitego maadui zake - Zelensky hilo halioni, kutunisha misuli tu na majigambo.
Kuna saa nyingine ni kama mnashindwa kueleza kinachotokea, Urusi wanarudi nyuma baada ya mapigano na kuzidiwa nguvu ndio maana kuna za pande zote katika maeneo ambayo Ukraine wanayachukuwa. Askari wa Urusi pia wanarudi nyuma pale ambapo kuna dalili za kuzungukwa na askari wa Ukraine. Nje ya hapo hakuna askari wa Urusi anayerudi nyuma.
 
Russia held a general rehearsal in many of its cities early this morning, including Moscow of its laser defence shield

It's called Peresvet and it's said to blind military satellites and incapacitate drones

Putin was not kidding
If you are in Russia send us picture of your areaView attachment 2379666
Wakati Wana jaribu hili.... Wale jamaa nao wawe wanajaribu kuzipita .
 
Wabunge wa Marekani wanaanza kulia kwa uchungu baada ya OPEC + kupunguza oil output. Wanalalamika kwamba Saudia Arabia amekuwa sio trustworthy ally kwao.

Wanatoa kilio na kulalamika kwamba wananyimwa Mafuta.

Mnasemaga kwamba US anazalisha Mafuta kwa wingi na pia ana reserve kubwa, Sasa kinachomliza Ni kitu gani?


Sen. Dick Durbin (D-Ill.) called for the U.S. to “imagine a world” without its alliance with Saudi Arabia
Screenshot_20221007-144649.jpg
 
Back
Top Bottom