Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui pro west hili swala la advancement ya majeshi ya Ukraine katika maeneo yanayoshikiliwa na Urusi mnalichukuliaje ila mimi napata wasiwasi kwamba huenda kuna mtego Ukraine anategewa na kakubalo kuingia kindezi.

Hivi hamjiulizi imekuaje ghafla Russia ni kama kaishiwa nguvu na morali ya kupambana. Kwamba maeneo karibu yote yanayochukuliwa warusi wanakuwa wameyakimbia mapema hata hawarushi risasi hewani za mikwara.

Hivi Urusi anaweza kudhoofu ghafla hivi? Sio kwamba askari wake wanauwa sana au uchumi umeanguka ghafla so hawezi kufund vita, hamna.

Ukraine angalieni msije kujikuta huko ndani ndani mnakozidi kuingia mkaja kupigwa tukio mkashindwa kutoka.

Sioni kabisa ni nini kikubwa sana kimetokea iwe upande wa Ukraine au Russia cha kubadili upepo namna hii tena ghafla. Nachokiona huu ni mtego wa panya ule wa waya. Panya anaweza kuingia ila kutoka hawezi. Shauri yenu Ukraine jisifieni kijinga na advancement ambayo ni kama mnaachwa makusudi muingie sehemu ambazo watu wanawataka muingie.
Hiyo mitego haiishi

Kiev ilikua mtego
Snake Island mtego
Kupiansk Mtego
Izium Mtego
Lyman Mtego
Kharkiv Mtego
Na sasa Kherson nayo imekua mtego[emoji23][emoji23][emoji23]DOH!!!

Aaaah tafadhalini bhana....
 
Moto unawaka Pande zote,sasa ni zamu ya Luhansk

[emoji298]️ Governor Haidai: Ukraine liberates Hrekivka in Luhansk Oblast.

Luhansk Oblast Governor Serhiy Haidai reported that heavy battles continue for other settlements in the Luhansk Oblast. The Russian troops are building fortification for long-term defense in the area, Haidai said.
 
Russia anasema analinda raia wake huko Donestsk halafu hapohapo analipua bwawa ambalo litasababisha mafuriko ambayo yatadhuru watu haohao ambao eti inadaiwa walipiga Kura ya ndio kujiunga na Urusi [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️General Staff: Russian forces blow up dam in Donetsk Oblast

The resulting flood hit the town of Raihorodok, with the pre-war population of 3,900 people, according to Ukraine's General Staff.

Watu wanalipua mpaka mabwawa halafu kuna watu wanakwambia hii sio vita ni SMO.[emoji23][emoji23]
 
Sijui pro west hili swala la advancement ya majeshi ya Ukraine katika maeneo yanayoshikiliwa na Urusi mnalichukuliaje ila mimi napata wasiwasi kwamba huenda kuna mtego Ukraine anategewa na kakubalo kuingia kindezi.

Hivi hamjiulizi imekuaje ghafla Russia ni kama kaishiwa nguvu na morali ya kupambana. Kwamba maeneo karibu yote yanayochukuliwa warusi wanakuwa wameyakimbia mapema hata hawarushi risasi hewani za mikwara.

Hivi Urusi anaweza kudhoofu ghafla hivi? Sio kwamba askari wake wanauwa sana au uchumi umeanguka ghafla so hawezi kufund vita, hamna.

Ukraine angalieni msije kujikuta huko ndani ndani mnakozidi kuingia mkaja kupigwa tukio mkashindwa kutoka.

Sioni kabisa ni nini kikubwa sana kimetokea iwe upande wa Ukraine au Russia cha kubadili upepo namna hii tena ghafla. Nachokiona huu ni mtego wa panya ule wa waya. Panya anaweza kuingia ila kutoka hawezi. Shauri yenu Ukraine jisifieni kijinga na advancement ambayo ni kama mnaachwa makusudi muingie sehemu ambazo watu wanawataka muingie.
Kama anajua hata watoto wameondolewa maeneo hayo Kwa sababu ya security kama Una akili lazima ujiulize kwanini wenyeji wameondoka
 
MULTIPOLAR LOADING........
USA THROWING TANTRUMS AS PER KAWA..

3 Members of United States House of Representatives for the Democratic Party introduced a bill to pull out all United States Missile defense systems and US Army troops from the Kingdoms of Saudi Arabia & UAE after the Arab Gulf countries backed OPEC+ oil cuts, which the American Government understand would favor Russia economically
 
1665088101736.png

In the last days, in a counter-offensive, Ukrainian forces in Kherson recovered about 1,300 square kilometers.
 
Against the backdrop of the start of Lend-Lease for Ukraine with the allocation of billions of dollars in the form of economic and military assistance, Biden said very “on time” that the restoration of Florida after Hurricane Yan would take “not months, but years”
 
Tomorrow, the Russian Army may intensify its attacks on the territory of Ukraine in honor of Putin's birthday, - General Staff of the Armed Forces of Ukraine

The Ministry of Defense of Ukraine said that they expect a powerful missile attack on the territory of the country tomorrow.
 
MEP Claire Daley calls on the EU Parliament: “As the war in Ukraine spirals out of control, there are vicious insults against those who stand for peace: 'buddies', 'puppets', 'puppets', 'agents'. Confronting the horror of war is not "anti-European", "anti-Ukrainian" or "pro-Russian", it is common sense"
 
mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany

upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Viva referendum . Piga wavamizi

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany

upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Lete source paka wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom