Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
‼️🛢 🇹🇷💰🇷🇺Russia and Turkey have transferred part of the payments for Russian gas supplies to rubles -Russia energy minister Alexander Novak‼️
Safi kabisa, hapo unampunguzia shemeji gharama ya kuweka beki 3, kwahiyo ni kuosha vyombo na kupiga deki kwa kwenda mbele, natumaini pia hakupi boxer zake ufueNdio nipo sebleni kwa shemeji yangu nimeshika remote nasubiri chapati za maji na rost maini nipate msosi nikawashe kiyoyozi nilale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we umelala store mda huu unawaza kumkimbia mwenye nyumba alfajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hujashuhudia mobilization , referendum na ma nuke kusogezwa sogezwa. Tuna retreat na kuwapondaponda . Wanakuja kwa wingi kama vita za mishale na mapanga enzi ya Roma1954 wewe ulisema by the end of this week tutayashuhudia ambayo hatukuwahi tarajia,mwenzio hapana anasema Jeshi la Russia litaanza kazi November,sasa tufuate lipi? Tusubiri mwisho wa week hii au tusogeze hadi November?
View attachment 2378912
Russia assigned license plates to the new territories. 80 - Donetsk region, 81 - Lugansk region, 84 - Kherson region, 85 - Zaporozhye region.
Mmh....Dada jisahihishe kwa comment za Aina hii...Kuonyesha dharau kwa wenzio pia ni moja wapo ya dalili za kuwa na IQ ndogo
Hata wewe kuna comment zako huwa nazisoma nabaki kukushangaa tu.Ndiyo ubinadamu wenyewe.Mmh....Dada jisahihishe kwa comment za Aina hii...
Subiria yote mawili....au unasemaje Ndugu mpendwa....usiwe na haraka....Russia means business...right now waking kwenye process...By the way do you know kwamba right Russia ina advance kwenye baadhi ya maeneo??? Hao Ukraine acha waende mbio mbio ...I can assure you huko deep walikokwenda hawatapata nafasi ya ku-retreat....1954 wewe ulisema by the end of this week tutayashuhudia ambayo hatukuwahi tarajia,mwenzio hapana anasema Jeshi la Russia litaanza kazi November,sasa tufuate lipi? Tusubiri mwisho wa week hii au tusogeze hadi November?
Kumbe!!?! Hahaha ok...tujisahihishe...Hata wewe kuna comment zako huwa nazisoma nabaki kukushangaa tu.Ndiyo ubinadamu wenyewe.
LENGO la Russia ndio hilo kupunguza askari wa Ukraine na vifaa jeshi. Kama unavyosema kilichofanyika kwenye draft ni force King . Hawatatoka. Everything well calculatedSubiria yote mawili....au unasemaje Ndugu mpendwa....usiwe na haraka....Russia means business...right now waking kwenye process...By the way do you know kwamba right Russia ina advance kwenye baadhi ya maeneo??? Hao Ukraine acha waende mbio mbio ...I can assure you huko deep walikokwenda hawatapata nafasi ya ku-retreat....
Hata kyiv Russia walibakiza 10Km tu kuufikia mji.Lakini sote tunajua kilichotokea.Kule Lyman mlivyopokea kichapo mkakimbia mkaishia kuita 'tactical withdrawal'.Uzuri kwa sasa Russia anachapika kwenye 'ardhi' yake ya kwenye makaratasi.Subiria yote mawili....au unasemaje Ndugu mpendwa....usiwe na haraka....Russia means business...right now waking kwenye process...By the way do you know kwamba right Russia ina advance kwenye baadhi ya maeneo??? Hao Ukraine acha waende mbio mbio ...I can assure you huko deep walikokwenda hawatapata nafasi ya ku-retreat....
Maeneo gani hayo?! Au hayana jina!?Subiria yote mawili....au unasemaje Ndugu mpendwa....usiwe na haraka....Russia means business...right now waking kwenye process...By the way do you know kwamba right Russia ina advance kwenye baadhi ya maeneo??? Hao Ukraine acha waende mbio mbio ...I can assure you huko deep walikokwenda hawatapata nafasi ya ku-retreat....
Koment zako zimenikumbusha mjadala wa katiba mpya miaka fulani. Issa Shivji alikuwa akitoa mihadhara na kujibu maswali ktk kipindi chake maalum kikirushwa na ITV wakati ule na tune ya Mzee Jaji Joseph Warioba nayo ilikuwa ikifanya kazi kama hiyo kwa wakati wao.Ndio, Marekani nina ndugu zangu wa kuzaliwa, Russia yuko mungumtu Putin na watwana wake wakimsujudia. Ole wako ukatae kuitikia hewala bwana, cha moto utakiona!
Unasumbuliwa na utoto, hujui hata unachoongea. Tofauti na wewe mimi ninayoandika siendi kuyatafuta kwenye mitandao, naandika ninayoyajua.
Hivi unayo habari kuwa kuna nchi haiwezekani kuiwekea vikwazo hata iweje? Ilishavuka ngazi ya kuwekewa vikwazo. Uchumi wake ukianguka dunia nzima imepigwa stop.
Sasa unaongea; ukiwa mnyonge ni mnyonge tu hata ukipandisha bega na haki haitolewi kama pipi, hudaiwa. Kama ni mnyonge unazua ugomvi wa nini, una akili kweli?
Acha vichekesho, Urusi iliivamia Ukraine na sasa wanakimbizwa kama wezi hadi wanasahau vipodozi vyao. Unapokonywa rungu halafu unatandikwa nalo!
Mwanzo baada ya kusoma bandiko lako lililopita nikaingia kwenye IQ Test nikagundua score yako ni Average Intelligence kama KP Kipanya lakini kwakuwa nilitaka kujiridhisha nikaona nikujaze upepo na bahati nzuri UMETUKANA. Kimsingi wewe ni BELOW AVERAGE. Mtu aliye sawa Kichwani HATUKANIWeka hoja zako kama Una akili , pimbi wewe , Iq uwe nayo wewe mwenye akili fupi na kufikiri Kwa kutumia matacle ?kama mkia WA mbuzi , ungekuwa na Iq kubwa ungejibu hoja na si kufanya personal attacks .