Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ombwe la kichwani. Psychology inatuambia tusiwe na maneno mengi ili kuficha watu kujua IQ zetu kirahisi. Yaani kama ulichokiandika hapa ni rahisi kujua kiwango chako. Ukute mwenyewe umejipindaa na ku edit mara 3 ukiamini ni madini 😀🤣🤣Uzuri Biden alimwambia Yule mnywa gongo Putin ,laiti angelijua kilicho mbele yake asingesogeza pua zake pale Ukraine Ila akakaidi .
Sasa kaingiza wanajeshi wake wakala kipondo heavy na kupukutishwa kaleta Wagner wamef*rwa huko mpaka wameisha ,kaleta wafungwa wanakamdwa Tu kupukutishwa ,kaleta walevi WA ulanzi na gongo wanapakatwa Tu kila siku na mizoga Yao inaliwa na tai Kule Ukraine bado juzi Kule Lyman nasikia alileta wale elites aka special forces WA mchongo wamepakatwa na kulambishwa dudu wameisha nasikia anakimbizana na raia ,raia nao wameshtukia mchongo wanakimbilia Sweden,Poland ,Finland ,Norway ,Denmark ,Latvia ,Estonia na nchi nyingine za karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,yaani Russia imeshakuwa net producer & exporter WA wakimbizi kwenda EU
Vita si porojo ,vita ni vitendo.
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣😂Ombwe la kichwani. Psychology inatuambia tusiwe na maneno mengi ili kuficha watu kujua IQ zetu kirahisi. Yaani kama ulichokiandika hapa ni rahisi kujua kiwango chako. Ukute mwenyewe umejipindaa na ku edit mara 3 ukiamini ni madini 😀🤣🤣
Ombwe la kichwani. Psychology inatuambia tusiwe na maneno mengi ili kuficha watu kujua IQ zetu kirahisi. Yaani kama ulichokiandika hapa ni rahisi kujua kiwango chako. Ukute mwenyewe umejipindaa na ku edit mara 3 ukiamini ni madini 😀[emoji1787][emoji1787]
Mkuu usijihangaishe hiyo account ni fake it run by russia bot iliyoungwanishwa kwenye AI computer.Na Kwa taarifa yako ,Huu utawala WA sasa hivi WA Saudia Arabia usingeweza kuexist bila Hilo agano Kati ya The house of Saudi na United States , kiufupi huo ufalme usingekuwepo leo
Kuna history ndefu juu ya hili suala ,lakini kiufupi unatakiwa kujua miaka hiyo Saudi Arabia monarchy iliingia mikataba na United States Kwa wao kuuza mafuta interms of US dollars na in exchange United States kuensure usalama WA monarchy ya Saudia Arabia vitu kama kuleta silaha za kisasa , mifumo ya ulinzi ,kumodernize jeshi la Saudia NK pia kumodernize miundo mbinu ya Saudi Arabia ,ujenzi WA visima vya mafuta nk . Na imekuwa hivyo mpaka leo ,hao wazalishaji wengine hawakuwa na namna Bali kufuata system uliyokuwa established tayari Kwani mzalishaji mkubwa back in the day alikuwa Saudi Arabia so hao Wengine wakaunga tela na ikatengenezwa hiyo OPEC ambayo IPO mpaka leo .
Watu wengi hawajui kwamba hata hii Saudi Aramco ( Kampuni kubwa ya uzalishaji WA mafuta ya Saudi Arabia ) wakati huo ikijulikana kama Aramco America's iliyopo Leo ilikuwa ni branch ya Texaco ,standard oil , Exxon Mobil (haya yote ni makampuni ya uzalishaji WA mafuta ya kimarekani na ndio yaliyomiliki hisa za Aramco America's ) baadaye baada ya technology transfer kuwa wamejiridhisha imefanyika ndio ikachukuliwa na kuwekwa Chini ya serikali ya Saudia Arabia na kuitwa Saudi Aramco , Ila kuanzishwa ujenzi WA mitambo ,uendeshaji kila kitu ni mmarekani ndio alifanya na mpaka leo hii top management ya Saudi Aramco kuna wamarekani pale kibao ,kilichobadilika ni Ile kuwa Chini ya monarchy basi .So mmarekani ana mkono mrefu kwenye hii biashara ya mafuta na hii petrodollar ina history ndefu bado kuna vitu kibao vilifanyika kama ni msomaji unaeza ingia mtandaoni ukajisomea ,mi ni mvivu WA kuandika
So hata hili la kusema eti kuna siku hawa OPEC waachane na petrodollar system it's more unlikely tupende tusipende . Hii kitu si rahisi kama wengi wanavyoandika humu kimihemko ,never View attachment 2378733View attachment 2378734
Waaaaao this explains everything, thank you Russia bot.Ukiwa unajadili uwe na references wamesoma Urusi
1. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima
Weka hoja zako kama Una akili , pimbi wewe , Iq uwe nayo wewe mwenye akili fupi na kufikiri Kwa kutumia matacle ?kama mkia WA mbuzi , ungekuwa na Iq kubwa ungejibu hoja na si kufanya personal attacks .Ombwe la kichwani. Psychology inatuambia tusiwe na maneno mengi ili kuficha watu kujua IQ zetu kirahisi. Yaani kama ulichokiandika hapa ni rahisi kujua kiwango chako. Ukute mwenyewe umejipindaa na ku edit mara 3 ukiamini ni madini 😀[emoji1787][emoji1787]
Hii vita itaisha Kiev sio Kremia muvumiliane bandugu .Russia katikisa chini ANAPIGA kichwa . Nawaombeni msigombane . Mnaweza KUTUKANANA mpaka 2025? Jeshi la Russia litaanza kazi November .
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app