Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Huwaga mnafikiria nini ndugu zangu, why usiseme Russia ndio waliwekewa mtego wakajaa?
Logic ndio inatumika kuchambanua mambo, hata mimi ningekuwa Generali wa jeshi la Ukraine ningeshituka kuingia sehemu ya maadui nikakuta wote wanesepa na kuacha behind baadhi ya zana za vita - Generali mwenze akili zinazo chemka atajua tu kwamba huo ni mtego wa panya na kusita kuruhusu jeshi lake kuingia kichwa kichwa - Warusi mabingwa sana katika usanii wa kuwawekea mitego maadui zake - Zelensky hilo halioni, kutunisha misuli tu na majigambo.