Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mji wa kupyansk ambao urusi ilijiondoa umesharudiwa na urusi muda huu urus imebakiza umbali wa km 6 tu kuingia tena jiji la limany

upande wa kherson jesh la ukraine limeshindwa kusonga mbele kwa leo hii inaonesha urusi imeanza kujiimalisha vizur huko
Source; Halimashauri ya kichwa chako [emoji1787][emoji2][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tomorrow, the Russian Army may intensify its attacks on the territory of Ukraine in honor of Putin's birthday, - General Staff of the Armed Forces of Ukraine

The Ministry of Defense of Ukraine said that they expect a powerful missile attack on the territory of the country tomorrow.
Haya ndo Leo imefika tunasubiri hiyo mikombora
 
Sijui pro west hili swala la advancement ya majeshi ya Ukraine katika maeneo yanayoshikiliwa na Urusi mnalichukuliaje ila mimi napata wasiwasi kwamba huenda kuna mtego Ukraine anategewa na kakubalo kuingia kindezi.

Hivi hamjiulizi imekuaje ghafla Russia ni kama kaishiwa nguvu na morali ya kupambana. Kwamba maeneo karibu yote yanayochukuliwa warusi wanakuwa wameyakimbia mapema hata hawarushi risasi hewani za mikwara.

Hivi Urusi anaweza kudhoofu ghafla hivi? Sio kwamba askari wake wanauwa sana au uchumi umeanguka ghafla so hawezi kufund vita, hamna.

Ukraine angalieni msije kujikuta huko ndani ndani mnakozidi kuingia mkaja kupigwa tukio mkashindwa kutoka.

Sioni kabisa ni nini kikubwa sana kimetokea iwe upande wa Ukraine au Russia cha kubadili upepo namna hii tena ghafla. Nachokiona huu ni mtego wa panya ule wa waya. Panya anaweza kuingia ila kutoka hawezi. Shauri yenu Ukraine jisifieni kijinga na advancement ambayo ni kama mnaachwa makusudi muingie sehemu ambazo watu wanawataka muingie.
Huwaga mnafikiria nini ndugu zangu, why usiseme Russia ndio waliwekewa mtego wakajaa?
 
Happy birthday mwamba
ecc06d18b056893265760dbbafb36c5c.png
 
Russia anataka kuwaua hao Wote kumpa damage zelensky, maana atawachapa kama anapambana na magaidi waliovamia nchi yao

Well said, na hicho ndicho kinakuja kufuata mkuu - wengi hawataamini masikio na macho yao, Warusi kitu ingine kabisa linapo kuja suala la, kutetea/linda Taifa lao - waliwahi kupoteza zaidi ya Warusi 20million WW2 hawawezi kuruhusu kitu kama hicho. kijitokeze tena - ukichunguza kwa umakini mashabeki wakubwa wa vita ie war mongers wala hawakupoteza watu wengi during WW2 - Amerika kwa mfano walipoteza watu 500,000 tu na Uingereza 400,000 cha ajabu mataifa hayo mawili ndio ujitapa kwamba ndio walimshinda Hitler - kumbe ulaghai mtupu - sisemi hawakuchangia lolote kwenye war effort lakini mchango wao huwa unawekwa chumvi mno ujaribu sana ku-water down efforts za Russia, sijui kwa nini!!
 
Leteni taarifa za KM square

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Well said, na hicho ndicho kinakuja kufuata mkuu - wengi hawataamini masikio na macho yao, Warusi kitu ingine kabisa linapo kuja suala la, kutetea/linda Taifa lao - waliwahi kupoteza zaidi ya Warusi 20million WW2 hawawezi kuruhusu kitu kama hicho. kijitokeze tena - ukichunguza kwa umakini mashabeki wakubwa wa vita ie war mongers wala hawakupoteza watu wengi during WW2 - Amerika kwa mfano walipoteza watu 500,000 tu na Uingereza 400,000 cha ajabu mataifa hayo mawili ndio ujitapa kwamba ndio walimshinda Hitler - kumbe ulaghai mtupu - sisemi hawakuchangia lolote kwenye war effort lakini mchango wao huwa unawekwa chumvi mno ujaribu sana ku-water down efforts za Russia, sijui kwa nini!!

Bro Zama za WW2 sio za hivi Leo,enzi hizo watu unaweza walisha propaganda wakaamini bila kuzifanyia uchunguzi lakini sasa hivi hali ni tofauti watu wanahoji wanataka majibu ya kueleweka sio waende kufa tu bila sababu kwenye vita isiokua na kichwa wala miguu,vita vilivyoanzishwa Kwa maslahi ya kisiasa ya Mtu mmoja. Huoni watu wanakimbia nchi huko Russia,juzi watu karibu Nusu wamerudishwa makwao kwenye hiyo wanayoita partial mobilization na inatakiwa ufahamu kwamba warusi wakati wa ww2 walikua na spirit ya kupigana sababu wao ndo walivamiwa lakini safari hii Hali ni tofauti wao ndo wamevamia ndio maana unaona Ukraine wako tayari kufa ili kumuondosha mvamizi.
 
Warusi wenyewe wanahoji uwezo wa jeshi Lao,miezi 8 sasa vitani lakini hata Donbass wameshindwa kuikamata yote wakati walikua kwenye huo mji tangu 2014.
 
Bro Zama za WW2 sio za hivi Leo,enzi hizo watu unaweza walisha propaganda wakaamini bila kuzifanyia uchunguzi lakini sasa hivi hali ni tofauti watu wanahoji wanataka majibu ya kueleweka sio waende kufa tu bila sababu kwenye vita isiokua na kichwa wala miguu,vita vilivyoanzishwa Kwa maslahi ya kisiasa ya Mtu mmoja. Huoni watu wanakimbia nchi huko Russia,juzi watu karibu Nusu wamerudishwa makwao kwenye hiyo wanayoita partial mobilization na inatakiwa ufahamu kwamba warusi wakati wa ww2 walikua na spirit ya kupigana sababu wao ndo walivamiwa lakini safari hii Hali ni tofauti wao ndo wamevamia ndio maana unaona Ukraine wako tayari kufa ili kumuondosha mvamizi.
Unaandika haya Kama professional historian au hisia zako tu kuendeleza ligi ya majibizano?!?!
 
Back
Top Bottom