Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Siberian silicon valley ndio inaenda kubwa sehemu ya ugunduzi wa teknolojia ya juu kwa vizazi vijavyo. Kama hujui google tu Siberian silicon valley ni niniUnatoa wapi advanced chips, gpu? unakumbuka trump alichowafny huawei? labda watengeneze kitochi ila smartphone marekan atazuia tu
Wanajeshi wa Ukraine wanahofia kuwa raia wakishaondoka ngao (raia) yao itakuwa imewaondoka, hivyo watanyeshelezewa makombora bila huruma na majeshi ya Russia.WANABOMOA MADARAJA WATU WASIONDOKE.
The Ukrainian Armed Forces blew up the bridge on Stary Saltov in Kharkov so that people could not leave the city towards Russia, the rocket flew into the sports complex
Source: dust
View attachment 2140024
Wanafanya Operation ionekane NgumuWanajeshi wa Ukraine wanahofia kuwa raia wakishaondoka ngao (raia) yao itakuwa imewaondoka, hivyo watanyeshelezewa makombora bila huruma na majeshi ya Russia.
Hiyo ni sawa na upepo upulize, kisha nyeti za kuku zinakuwa zaonekana dhahiri pasi kujificha
Wananchi wakiondoka wote kinachofata ni makombora mazito ndio maana anawazuia na kuwatumia kama ngao. Huyu comedian Hana akiliWANABOMOA MADARAJA WATU WASIONDOKE.
The Ukrainian Armed Forces blew up the bridge on Stary Saltov in Kharkov so that people could not leave the city towards Russia, the rocket flew into the sports complex
Source: dust
View attachment 2140024
Anafanya kitu kibaya sana, Awaachie moto uwake kazi iishe.Wananchi wakiondoka wote kinachofata ni makombora mazito ndio maana anawazuia na kuwatumia kama ngao. Huyu comedian Hana akili
Wengi washabiki tu, wanachukuliwa vitu kwa ushabiki sana, Russia ana silaha sio tu za kuangamiza Europe ila dunia nzima, sio rahisi nchi ya namna hiyo kuvamiwa na NATO unless otherwise NATO wameamua hii Dunia kufikia mwisho, Ukraine Mwenyewe alijua atasaidiwa na marekani na NATO iko wapi? NATO au Marekani kuingilia huo mgogoro Moja kwa Moja ni kuhatarisha Dunia kuingia ww3, and that won't serve their economic interests.Mie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.