Unafanya analysis kama mtoto wa Darasa la 7 vile, Putin hana sababu za kiusalama kuivamia Poland, ila ana kila sababu ya kuivamia Ukraine, na ndicho alichofanya, NATO hawawezi pigana na Russia, same as Russia unless it is absolutely necessary.
Watu hawapigani vita tu kama pwagu na pwaguzi, vita zina sababu yake. Kama akili yako inakwambia NATO haiiogopi Russia then utakuwa mjinga. Na ujinga wako utakuwa hapa haujiulizi hili swali, Kwann NATO? Na kwann mataifa yote hayo ya NATO yaungane mostly kujilinda na threat ya Russia? Unaweza fanya hivyo kama hakuna security threat?