LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
haya waliyajua so wakikwambia wanaunda wataunda tu kwasasa bajeti kubwa itawekwa kwenye viwanda vya ndani
yeah but point yangu walishafanya hizo projects, moja ilifail na nyingine imekwama mda huu, halafu kauli hii inafanana na ile baada ya kufungiwa FIFA na UEFA wakasema watadevelop their own international sports events, ni kama wanavyosema wataacha kutumiua dollar na euro(ni karibu miaka 20 sasa tangu waanze kusema hivyo), ndio maana nawaza je kuna uhalisia au wanasema tu kwa kuwa wamewekewa vikwazo, ni oponion tu lkn.
 
Unafanya analysis kama mtoto wa Darasa la 7 vile, Putin hana sababu za kiusalama kuivamia Poland, ila ana kila sababu ya kuivamia Ukraine, na ndicho alichofanya, NATO hawawezi pigana na Russia, same as Russia unless it is absolutely necessary.

Watu hawapigani vita tu kama pwagu na pwaguzi, vita zina sababu yake. Kama akili yako inakwambia NATO haiiogopi Russia then utakuwa mjinga. Na ujinga wako utakuwa hapa haujiulizi hili swali, Kwann NATO? Na kwann mataifa yote hayo ya NATO yaungane mostly kujilinda na threat ya Russia? Unaweza fanya hivyo kama hakuna security threat?
Mie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.
 
ndio hapo sasa sema hata hizi nchi zingine zishaujua mchezo wa usa
 
Wewe ungekua rais wa Ukraine ungekubali kuweka silaha chini?
rais mwelevu,angekubali baadae wangeenda mezani ,huenda angebaki na urais wake na nchi take kubaki salama,kwanza angekuwa amejifunzq ndugu yake wa kweli na anayemjali ni RUSSIA ,kitendo Cha NATO kumzilia mziki wa Putin ni kutaka wewe uchapike kwa maslahi yao binafsi.
 
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] hizi hesabu zinachanganya kichwa duuu [emoji116]
20220305_160509.jpg
 
rais mwelevu,angekubali baadae wangeenda mezani ,huenda angebaki na urais wake na nchi take kubaki salama,kwanza angekuwa amejifunzq ndugu yake wa kweli na anayemjali ni RUSSIA ,kitendo Cha NATO kumzilia mziki wa Putin ni kutaka wewe uchapike kwa maslahi yao binafsi.
Nchi ingebaki salama ila huyo dogo putin hataki hata kumwona
 
Ameonekana mkorofi , watu wamejua mapungufu yake wako na direct negative response
 
WANABOMOA MADARAJA WATU WASIONDOKE.

The Ukrainian Armed Forces blew up the bridge on Stary Saltov in Kharkov so that people could not leave the city towards Russia, the rocket flew into the sports complex

Source: dust
 
Mie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.

Unajua kuna watu humu hawaijui vizuri wanaichukulia poa sana, kuna watu bado wanavielement vya US, Russia wamejijenga vzr sana kwenye jeshi ndomana hakuna boya anaemwogopa kwa sasa. Kuna watu wanachekesha sana humu[emoji28][emoji28]
 
China called on the Russian Federation, NATO, the EU and the United States to engage in dialogue on an equal footing and face the contradictions that have accumulated for many years, the Chinese Foreign Ministry said.

Beijing also urges to take seriously the negative impact of NATO expansion on the security environment for the Russian Federation, the Foreign Ministry added.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Wamezuiwa Uerope na USA sasa dunia gani hiyo leo dunia imekuwa Euro basi. Africa, Asia sijui India waje tu hakuna kuzuia wala nini. Ukiona media wanatumia sana propaganda ujuwe hali mbaya. Maana hata onground hawa report tena.
watu wanatk ulaya na USA coz huko ndo market ilipo, asilimia 90 ya murikans washawahi panda ndege si hapa ht asilimia mbili cjui km inafika sa kuna biashara hapo, biashara ipo huko na Asia
 
The failure of the US administration to take concrete action against Senator Graham will have a further devastating effect on relations with Washington, the Russian Foreign Ministry said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Huyu kidume akimalizana na Zelensky aje Tanzania atuondolee CCM maana wananchi tumeshindwa… atutawale bureee…tunachotaka elimu bora kwa watanzania kiwango cha chini kiwe masters degree…
CCM na Russia ni mtu na binamu yake,unless hujui history ya vita baridi na vita vya ukombozi kusini mwa Africa.
CCM na Russia ni maswahiba wakubwa kabisa kuwahi kutokea.
Tabia za CCM ni tabia za Putin!
 
We collected the main thing from Putin's statements:

— Russia tried to resolve the conflict in Ukraine peacefully. But the Ukrainian regime, instead of letting the Donbas speak Russian and live its own way, organized a blockade;

- work on the destruction of the military infrastructure of Ukraine is almost completed;

- if the Ukrainian authorities continue in the same spirit, they will call into question the future of Ukrainian statehood - and this will be entirely on their conscience;

- there are many different options for the demilitarization of Ukraine, all of them are on the negotiating table with Kiev, Moscow is hoping for a positive reaction;

- Russia will consider as a participant in a military conflict any country that creates a threat to the lives of Russian military personnel;

- there is no need to introduce martial law and emergency situations in Russia;

- conscripts or those who are called to the training camp do not participate in the military operation;

images (21).jpeg
The way out of the current economic situation can be the maximum economic freedom of business.
 
Back
Top Bottom