LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
In Kherson, nationalists are trying to disrupt the issuance of humanitarian aid from Russia, the people's militia has identified the organizers, they will soon be detained, RIA Novosti reported, citing a source.
 
Puma announced the cessation of deliveries of products to Russia and the suspension of its stores.
 
Ulikuw wapi muda wote, Na chanzo chako cha habari ni kipi? Hujaona Kambi zilizoachwa na Ukraine? Pia kumbuka evacuation Imeharibu sana mipango, Wanapiga kwa kuvizia sana so kuchezea ni lazima, Nyie mkisema mkaushe watu watoke, Wenzenu wanakiwasha.
Nafatilia since day one.. Kusema kweli sidhani kama tumepeleka jeshi au wanamgambo.

Evacuation sio sababu, ila hili la wanajeshi wa Ukraine kushambulia wakiwa wamekaa kwenye makazi ya watu nalo ni changamoto. Maana makazi hayohayo yakishambuliwa wanarudi kusema tunaua civilians. Hapa ni kusimamisha vita na kutoa siku kadhaa watu waondoshwe ndio tuingie mzigoni vizuri. Ila kwa kuendelea hivi tutakuwa exposed vibaya sana
 
Ulikuw wapi muda wote, Na chanzo chako cha habari ni kipi? Hujaona Kambi zilizoachwa na Ukraine? Pia kumbuka evacuation Imeharibu sana mipango, Wanapiga kwa kuvizia sana so kuchezea ni lazima, Nyie mkisema mkaushe watu watoke, Wenzenu wanakiwasha.
Mambo ya aibu sana haya.. Ebu ona tunavyodhalilishwa


Jamaa kadondosha Helikopta


 
Miji ipi?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Russian military personnel took control of the military base of the Armed Forces of Ukraine near Kherson.

According to the Ministry of Defense of the Russian Federation, the Ukrainian military left their positions in a hurry, leaving all the equipment behind. Among the trophies found on it are Ukrainian T-64 and T-80 tanks, armored personnel carriers, infantry fighting vehicles, and Ural vehicles.

The base itself occupies 6-7 hectares. In the hangar, located on its territory, there was an ammunition depot. These are mines, anti-tank guided missiles, mortar and tank shells. In total, more than 4.5 thousand tons of ammunition.

Some of the weapons stored on the street are rocket projectiles for multiple rocket launchers. Mortar ammunition and high-explosive fragmentation shells are nearby. Presumably, various units were trained here - marines, sappers, signalmen, tankers and artillerymen. The base could accommodate about four thousand fighters.

Source: shot
Your browser is not able to display this video.
 
Anachokifanya ni upumbavu mana Raia wake ndo wanateseka ilo la kuonekana jasiri na dunia wakati Raia wake wanakufa na jeshi lake linateketea ni Upumbavu huo
hata hivyo amejitoa sana, given thefact that, Myahudi popote alipo, hata angekuwa amezaliwa hapa Tanzania, ni raia wa Israel na anazo haki zote, hadi passport si ukute anayo. kule israel wanawatambua wayahudi woote duniani kama ni raia wa israel kwasababu pale ndio makazi ya kudumu ya wayahudi. hivyo yeye kuwa Ukraine ni roho upande mmoja tu ila upande mwingine ni raia wa nchi nyingine.though baba yake alimkatazaga kwenda kusoma chuo Israel lakini as long as ni myahudi, hata nchi ile ikipukutika anapo kwa kwenda atakakopokelewa kama nyumbani. shida ni mazuzu ya ukraine ambayo hayana kwengine kwa kwenda.
 
“I asked them on my knees with my nephew from the basement: save us. [And they told us:] sit down, we'll get you. And then, as they started to beat, they rolled out the entire PMK area. Damn them along with this Green."

A resident of Volnovakha Larisa - about the military of the Armed Forces of Ukraine:

“They were three people - two with a machine gun, one with a pistol. One walked, fired - a long burst, then a second long burst, then three shots from a pistol.

They got into the car, made a short burst from one machine gun, and left from the second one. And just two minutes later, shells began to fall into this place. ”

The woman managed to evacuate on her own - according to her, the Ukrainian military did not even try to help civilians.

Today, a humanitarian corridor was organized to the village of Rybinskoye, but the Armed Forces of Ukraine violated the silence regime, due to which only a few people managed to leave the city.
 
Hivi hilo bomu la kuangamiza dunia nzima lipoje? Mbona Dunia mnaichukulia poa kama kitenesi vile
Huo muda wa kukupa hiyo elimu Sina, ila kwa silaha alizonazo Russia, USA and even China, it's very possible dunia kuangamizwa, "na kuangamizwa" nayo ni elimu, inategemea unaelewa vipi !!
 
sio ulaya tu, km mafuta yamepanda bei kwe soko la dunia basi hata china na marafiki wengine wa russia na wao wanaathirika,
Russia ni ya 2 usambazaji wa mafuta na ya 1 kwa gesi sasa Russia anateseka vipi wakati gesi na mafuta ni vyake
 
Siyo nne tu, madege mengi leo yameangushwa including su 34, pilots kadhaa wamekamatwa baada ya ndenge zao kudunguliwa. Hapo ni javelin, NLAW na stingers tu ndo wanatumia Ukraine.
 
The Israeli Prime Minister spoke with Zelensky after the meeting with Putin, RIA Novosti was told in his office.
 
Russia ni ya 2 usambazaji wa mafuta na ya 1 kwa gesi sasa Russia anateseka vipi wakati gesi na mafuta ni vyake
mbn amna nlikosema russia anateseka mkuu angalia vizuri, nmesema washirika wa urusi angalia vizuri
 
[emoji95]Up to 50 cargo planes carrying military hardware from the US, UK, Canada, Poland, and Lithuania landed in Ukraine prior to the start of the Russian military operation there, Russia’s Foreign Ministry has revealed. Some 2,000 tonnes of modern weapons, ammunition, and protective gear were supplied to Ukraine in the first month and a half of 2022, the ministry added.[emoji95]
 
Waafrika toka nchi kadhaa zikiwemo Nigeria, Ghana, Kenya, South Africa, Ethiopia, Somalia na nchi nyinginezo za Afrika wanaobaguliwa na waUkraine kupita mpakani mwa Ukraine kuingia nchi za jirani walalamikia kupinga ubaguzi wa rangi


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…