Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Kama unajua project inaitwa SURA bora ukae kimya, sasa kazi ku-demilitarize Ukraine imekwisha kinachofata ni SURA Project kufanya kazi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unajua project inaitwa SURA bora ukae kimya, sasa kazi ku-demilitarize Ukraine imekwisha kinachofata ni SURA Project kufanya kazi yake
Ujasiri au upumbavu,yeye ndio chanzo cha tatizo.Kiufupi yeye ndio tatizo,sasa aliye anza kutengeneza tatizo anakuwaje tena jasiri.lak
lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.
Warusi Hatupigani Vita Ukraine. Tuna Jambo Tunalifanya Linaitwa Operesheni Ya Kijeshi na Sio Vita.
anatengenezewa mtu mazingira yakupewa kichapo heavy wewe unaongea ongea tuu heheeeRussia wanatafuta sababu ya kuficha aibu yao
Kwamba mambo yamekuwa magumu wanaanza kuleta visingizioRussia wanatafuta sababu ya kuficha aibu yao
Tulishajua utimamu wa akili yake upo shakani baada ya kuji isolate kwa 2 yrs kwa ajili ya Covid.Hivi kwa mfano kwa kauli yake tu kusema kombe la dunia halitafanyika,hivi unafikiri nchi gani itapeleka timu yake Qatar?. Na umesema mmeona kiwango chake cha kupaniki ila hamjawahi kuona hasira zake. Atawaonyesha vita ni nn na mmeingia kwenye 18 zake.
Lala sasa umpe mzee wako utamu.Tulishajua utimamu wa akili yake upo shakani baada ya kuji isolate kwa 2 yrs kwa ajili ya Covid.
Hivi vitisho vyake vishazoeleka,angebofya kitufe cha Nyuklia siku ile kama kweli kadhamiriaNawakumbusha tu pro.NATO, magenerali wa jeshi wa Urusi wamemtaka Putin atumie nguvu kubwa ili kuimaliza Ukraine. Ikitokea Putin akakubaliana na magenerali wake pengine historian ya Ukraine inaenda kuandikwa upya. Tuendelee kufuatilia hili kwa karibu maana mpaka White house iliposikia kauli hiyo haijui Russia itatumia chemical, biological au atengeneze tetemeko kubwa la ardhi kutoka SURA Project
si mara ya kwanza FIFA kuisimamisha nchi kwasababu za kisiasa, rejea ya south africa na yugoslavia,Ila FIFA hii issue wamembwelaa
Unachokisema ni kweli kabisa maana kuna msemo unasema " damu nzito kuliko maji" . Nimeona hata jinsi Israel mwanzo alikuwa hataki kuikosoa Russia kwenye huu mgogoro kwa lengo la kutokuharibu mahusiano yake na Russia na ilikuwa hataki pia kushiriki kupiga kura zile za juzi za UN General Assembly lakini akashinikizwa na West na dogo wa Ukraine alimpigia inasemekana waliongea mengi na baada ya hapo Israel ikashiriki kura za kuitosa Russia japo kwakujivuta sana.hata hivyo amejitoa sana, given thefact that, Myahudi popote alipo, hata angekuwa amezaliwa hapa Tanzania, ni raia wa Israel na anazo haki zote, hadi passport si ukute anayo. kule israel wanawatambua wayahudi woote duniani kama ni raia wa israel kwasababu pale ndio makazi ya kudumu ya wayahudi. hivyo yeye kuwa Ukraine ni roho upande mmoja tu ila upande mwingine ni raia wa nchi nyingine.though baba yake alimkatazaga kwenda kusoma chuo Israel lakini as long as ni myahudi, hata nchi ile ikipukutika anapo kwa kwenda atakakopokelewa kama nyumbani. shida ni mazuzu ya ukraine ambayo hayana kwengine kwa kwenda.
ile amri ya kuweka tayari kikosi cha nuclear putin aliteleza maana imefny wengi wafikirie utimamu wa mind yake, why atishie nukes? naona kina lavrov na shoigu wakawa wanahangaika na damage controllHivi vitisho vyake vishazoeleka,angebofya kitufe cha Nyuklia siku ile kama kweli kadhamiria
hayo masuala hatakama kweli wanania nayo nakama wanataka kuyafanya basi sio marahisi wala mepesi kama unavyodhania MKUUyeah but point yangu walishafanya hizo projects, moja ilifail na nyingine imekwama mda huu, halafu kauli hii inafanana na ile baada ya kufungiwa FIFA na UEFA wakasema watadevelop their own international sports events, ni kama wanavyosema wataacha kutumiua dollar na euro(ni karibu miaka 20 sasa tangu waanze kusema hivyo), ndio maana nawaza je kuna uhalisia au wanasema tu kwa kuwa wamewekewa vikwazo, ni oponion tu lkn.
Acheni kumlisha maneno mzee wa watu hakuna sehemu alisha sema hayo maneno .Tunakubaliana dose ya vikwazo imekuwa kubwa sana kwa Russia siyo? Na FIFA wakimkatalia atawafanyaje? Atakwenda kudondosha mabomu Qatar ili mashindano yasiwepo? Kadri anavyozidi kuongea mno ndiyo wanaongeza dose maana wameshaona kiwango chake cha kupanic.
Hii ni best comment ever so far worth more than billion dollars thank youHuyu jamaa ana akili fupi za kicomedy anaongelea kuhusu udhaifu na kukosa kujiamini?
Sometimes ni bora kutulia kuliko kujitia kujiamini alafu maamuzi ya mtu mmoja au kikundi cha watu kuangamiza maisha ya wasio na hatia na kuhatarisha amani na usalama wa dunia nzima.
Kama upuuzi aliofanya yeye.
Russia au Putin sio mtu pekee mwenye Weapons of mass destruction lakini yeye pekee ndio mwenye "will" ya kuweza kuzitumia.
NATO na USA sio wajinga kama yeye ndio maana hawatomsikiliza sababu wanajua kitakachotokea.
Ikitokea Nuclear War basi hakuna atakayepona dunia nzima hata sisi huku afrika tutaathirika na radiation inaweza kufanya dunia iwe uninhabitable kwa miaka 1000 ijayo, na mostly atmosphere itaharibika vibaya kutokana na hiyo holocaust.
Hapa watu wanaona mwisho wa dunia huyu jamaa bado analeta comedy kwenye mambo serious.
Na kwanini watu wanampa nchi comedian wakati wanajua kabisa ili uwe comedian ni lazima usiwe serious na akili zikuruke.
Ona alivyoiponza nchi yake kwa ujinga wake.
[emoji3][emoji16]hatar sanaAnajuta moyoni sasaiv..ni sawa na mwanamke aliyerubuniwa amkimbie mume wake, akamkimbia halaf jamaa akamtosa!