Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anakuvamia nchini kwako anarusha mabomu na kuuwa raia wako halafu eti mkae mezani muyazungumze!rais mwelevu,angekubali baadae wangeenda mezani ,huenda angebaki na urais wake na nchi take kubaki salama,kwanza angekuwa amejifunzq ndugu yake wa kweli na anayemjali ni RUSSIA ,kitendo Cha NATO kumzilia mziki wa Putin ni kutaka wewe uchapike kwa maslahi yao binafsi.
na ningekuwa kiongozi n8singekuwa mjinga wa akili Kama zelensky,ambaye NATO walimuona fuvu lake halina ubongo,wakalikoki na kulipampu kuwa wataingilia Kati kumpiga mrusi ,Leo hii wako wapi.sasa si bola ukubali kuufyata mkia uokoe raia wako,ujipange upya ,siku ukiona una nguvu za kutosha wewe mwenyewe ndo ulianzishe! Tatizo hapa naongea na raia ,hujui kuwa kukimbia uwanja wa Vita au kusarrender ni moja Kati ya mbinu za kivita !?Mtu anakuvamia nchini kwako anarusha mabomu na kuuwa raia wako halafu eti mkae mezani muyazungumze!
Aisee we jamaa hufai hata kuwa kiongozi wa kata kwa akili hizi za kitumwa
Ingekua hivyo basi na sisi tungesurrender kipindi kile Iddi Amin dada amevamia na kumega kule eneo la kagerana ningekuwa kiongozi n8singekuwa mjinga wa akili Kama zelensky,ambaye NATO walimuona fuvu lake halina ubongo,wakalikoki na kulipampu kuwa wataingilia Kati kumpiga mrusi ,Leo hii wako wapi.sasa si bola ukubali kuufyata mkia uokoe raia wako,ujipange upya ,siku ukiona una nguvu za kutosha wewe mwenyewe ndo ulianzishe! Tatizo hapa naongea na raia ,hujui kuwa kukimbia uwanja wa Vita au kusarrender ni moja Kati ya mbinu za kivita !?
sisi uwezo binafsi ulikuwepo,lakini pia hata kwenye ile Vita Kuna kipindi wanajeshi wetu walirudi nyuma ,amini akaanza kujitapa Sasa tutampiga nyerere Hadi dar es Salam,kumbe watu walirudi nyuma kuuaoma mchezo na kuja na mbinu mpya.kwenye medani za kivita sio kukomaa hata Kama unajijua umezidiwa !! Kama zelensky Ange kubali kuomba poo,ajipange upya,kuliko kukomaa na akashindwa na kuipogeza serikali yake mazima,hapo mrusi atampiga na kumfurusha nje mazima,halafu mrusi ataweka serikali nyingine ya Ukraine ,ambayo Sasa itakuwa Kama koloni kwa mrusi !Ingekua hivyo basi na sisi tungesurrender kipindi kile Iddi Amin dada amevamia na kumega kule eneo la kagera
Target ya Putin ni kupindua Serikali ya Ukraine ili aweke kibaraka wake.sisi uwezo binafsi ulikuwepo,lakini pia hata kwenye ile Vita Kuna kipindi wanajeshi wetu walirudi nyuma ,amini akaanza kujitapa Sasa tutampiga nyerere Hadi dar es Salam,kumbe watu walirudi nyuma kuuaoma mchezo na kuja na mbinu mpya.kwenye medani za kivita sio kukomaa hata Kama unajijua umezidiwa !! Kama zelensky Ange kubali kuomba poo,ajipange upya,kuliko kukomaa na akashindwa na kuipogeza serikali yake mazima,hapo mrusi atampiga na kumfurusha nje mazima,halafu mrusi ataweka serikali nyingine ya Ukraine ,ambayo Sasa itakuwa Kama koloni kwa mrusi !
ilikuwa simple,angekubali offer ya Putin yenye masharti asiwe member wa NATO,Putin angekaa zake kwake na jamaa angeendelea kujinoa na kujipanga upya!Target ya Putin ni kupindua Serikali ya Ukraine ili aweke kibaraka wake.
So hata kama Zelensky ange compromise na kutaka mazungumzo isingewezekana.
During the operation, the Russian Armed Forces destroyed 2119 objects of the military infrastructure of Ukraine, the Russian Defense Ministry said.View attachment 2140217
cha ajabu wanaotungua ndio wanpigikatHana hzo silaha ni mkwara tuu , helicopter zake zinaendelea kupukutika kama ukoma , huwez kuua vijana wako vitani wakat unashort curt ya kufinish the war,
View attachment 2140423
Mi natupia link tuZelenskyy: Russia headed toward 3rd nuke plant
Russian forces have now seized two Ukrainian nuclear power plants and are advancing toward a third, Ukraine's president said during a call with U.S. senators Saturday.
Volodymyr Zelenskyy said the third plant currently under threat is the Yuzhnoukrainsk nuclear power plant, located 120 kilometers (75 miles) north of Mykolaiv, one of several cities the Russians were trying to keep encircled Saturday.
Tumegeukia kupata endless motivational speeches kutoka kwa Wakubwa wa Russia kupitia TBC yao (RT),hatuna namna acha tuendelee kusoma hizo speeches.Hakuna movie tena Mkuu hapa,watu wanatafuta exit plan ya kiutu uzima baada ya mambo kuwa si mambo.Ilikuwa tushuhudie movie kali sana ya masaa kadhaa. Sasa naona imegeuka tamthilia.
Mwamba ana biti zitoo. Ma binti wa pwani wote lazima waogope
Vladimir Putin warns that any no-fly zone over Ukraine will be viewed as an act of war
Mkuu yoyote anayejiunga na jeshi maana yake yupo tayari kufa kwa ajili ya chochote atakachoambiwa na Boss wake au sio?.mwanasiasa mtu mbaya sana, putin anatangaza casualities then anaunganisha na kutangaza kiasi watacholipwa ndugu za marehemu but to them it's not about money but their loved ones, ukiacha national interests kuna personal ambitions kwa viongoz hawa wawili kila mmoja amekwenda too far but ndo hvyo tena kazi acha iendelee
Nimeona sehemu Ukraine wamewakamata ma Pilot karibu 10 waliokuwa wanarusha SU-34 na kuondoa sintofahamu ya kuitwa propaganda,kila anayekamatwa kuna clip anahojiwa na ukislide picha ya pili unamkuta huyo huyo Pilot akiwa kapiga picha na Rais Assad nadhani watakuwa wakati huo wakiwa kwa mission yao ile ya Syria.Pro Russia kwa hiyo post wamekuwa wapolee,hakuna anayebisha tena.Nikajisemea kumbe mambo ni magumu pande zote mbili na si kama tunavyoletewa hapa clip za upande mmoja za RT.Hana hzo silaha ni mkwara tuu , helicopter zake zinaendelea kupukutika kama ukoma , huwez kuua vijana wako vitani wakat unashort curt ya kufinish the war,
View attachment 2140423