LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ilikuwa simple,angekubali offer ya Putin yenye masharti asiwe member wa NATO,Putin angekaa zake kwake na jamaa angeendelea kujinoa na kujipanga upya!

hata hivyo Putin kapigana vitanyingi kwa zaidi yamiaka 40,so anauzoefu na Vita na siasa ,Putin hajaweka Yale masharti kwa kubahatisha ,aliyemlenga pale ni mmalekani na NATO,na Putin hakutaka kumpiga Ukraine ,Bali alitaka kuwachapa NATO na mmalekani ,sema Putin akili kubwa na mmalekani ni akili kubwa pia.Hujiulizi kwa nn NATO kaufyata!?,kimsingi utaona Kama NATO kaufyata Ila ana plan B dhidi ya Putin .huyo zelensky ametumika tu Kama chambo kwa umbumbumbu wake wa akili!!
Huna akili pathetic!!
 
Screenshot_20220306-072131.png
Vita vya kiuchumi ni vibaya zaidi kuliko vita vya makomborà.Assume Upo Moscow,kwenye Account unazo dollar milioni Halafu Huwezi kutoa bank Wala kununua kitu chochote supermarket.
Screenshot_20220306-072146.png
 
Russia hawataki kukubali kuwa Wali underestimate uwezo wa Ukraine na hawakutarajia aina ya vikwazo walivopata.

Siku ya kwanza ya uvamizi wa Russia Ukraine walitumia jeshi la anga, Maji, ardhini na hata jeshi la mitandaoni, yaani ilikuwa operation kubwa sana

Pia siku moja au ya pili Russia waliteka Hadi uwanja wa ndege Kiev na hata hiyo update Pro Putin humu ndani waliiweka na wote tulitarajia by 27 Kiev ingekuwa imeanguka, lakini Ukraine waliwatimua Askari wote wa Russia, Hakuna Pro Russia anayeweza kusema wale Askari wa Russia waliokuwa Mji Mkuu wako wapi.

Hadi Sasa Russia imerudishwa nyuma(defeated) mara 3 na Askari wa Ukraine.

Now imagine Ukraine ikipewa ndege vita na mifumo ya Anga Itakuwaje kwa Russia?
Usemacho ni kweli kabisa.Kwasasa nikitaka kupata uhalisia kuna page moja kule Istagram inaweka uhalisia ya pande zote mbili,kuna clip kibao ambazo baadhi pia zimeshaletwa hapa mambo ni magumu kotekote na si kama tunavyotaka kuaminishwa hapa na Pro Russia wa JF na clip za upande wanaoushabikia.
 
Mambo yangekuwa magumu kwote kwote rais wenu asingekimbilia Poland
 
A Russian plane landed at Washington D.C.s Dulles Airport to take away Russian diplomats that were expelled from the UN. The plane was granted special permission to enter U.S. airspace following a ban of Russian jets.

#CGTNAmerica
FB_IMG_1646541335512.jpg
 
Wanaita military operation kwao hii siyo vita just military operation.
Eti just military operation,ndiyo ufikie hatua ya kuamrisha waliopo kwa Nyuklia kukaa standby halafu ulete blah blah za military Operation? Btw ule msafara wetu wa 60km umefika wapi kwa sasa?
 
Mabibi na Mabwana sasa tupo kwenye siku za mwisho mwisho za vita hii ya Ukraine baada ya Putin kuahidi kuimaliza serikali ya Ukraine haraka iwezekanavyo.
North Korea imetuma mtoto wa Satan 2 na kutua jirani na Marekani. Utestiji huo umekuja baada ya juzi North Korea kutuma jiran na south Korea na Marekani wakawa wanachunguza ukubwa,kipenyo,mduara pembe tatu,mstatiri na upana wa missile hiyo, Kim amewatumia video maafisa wa Marekani na kuwaambia South Korea ni mbali sana hivyo la kwenu hilo mlifanyie uchunguzi huko huko.Mpaka sasa maafisa wa Marekani hawajatoa tamko lolote kuhusiana na uchokozi wa Kiduku kwa Marekani. Nyamizi Sikirimimimasikini DeepPond
Kiduku yeye hana nyimbo tena,ngoja kwanza tunamshughulikia Baba yake Putin,si unaona kageuka kuwa motivational speaker anawatia moyo watu kuhusu maswala ya ki uchumi.
 
Eti just military operation,ndiyo ufikie hatua ya kuamrisha waliopo kwa Nyuklia kukaa standby halafu ulete blah blah za military Operation? Btw ule msafara wetu wa 60km umefika wapi kwa sasa?
Ule msafara umeishiwa fuel na chakula.
Ukraine wanaweza kuuharibi wakati wowote.Walidhani wanakwenda harusini😂😂😂
 
Russia bila maNyuklia ni wachumba TU.Kwenye hii vita wangekutana na nchi yenye mifumo thabiti ya kujilinda na makombora na yenye silaha za uhakika, wangekuwa wameshamalizika.
Ukraine lilikuwa jambo la Soviet union,ni sawa na Zanzibar iisumbue Tanzania bara.Wangekutana na nchi iliyokamilika kama ufaransa au uingereza, Russia wangeomba poo!!
 
Umewahi kuvita bangi ukiwa chooni.
 
A Russian plane landed at Washington D.C.s Dulles Airport to take away Russian diplomats that were expelled from the UN. The plane was granted special permission to enter U.S. airspace following a ban of Russian jets.

#CGTNAmericaView attachment 2140549
Hiyo ndege inalindwa kwa hisani ya Satan 2, Biden anaishia kuimezea mate tu kwani anatamani aikamate ili kushinikiza Putin aache kuichachafya Ukraine
 
Hili suala la ushoga fungulia Thread yake.Hapa tunaongelea Thread inayoongelea yanayojiri vita vya Ukraine.
Usihamishe mada!
ukrine kwa sasa ipo chini ya mrusi hakiingii kitu bila ruska ya urusi .zelensky kakikili nato waoga kilibaki ni vita za video za propaganda zidi ya warusi. wanaume wa ukraine wanavaa nguo za kike kisha kukimbia vita si mchezo kuhusu vita ya uchumi nakukumbusha urusi sio tandaimba au kwa mtogole rejea iran
 
Back
Top Bottom