Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ukraine ana rasilimali nyingi na ndio nchi iliyo kua ikitunza mabom ya nyuklia mengi baada ya ussr kuvunjikaKwanini Ukraine anajivuta kufanya maamuzi ya kujiunga NATO?kwasababu kiusalama hayupo vizuri alitegemea siku Urusi akilianzisha yeye atakuaje?
Hii ngoma ishavamiwa,Oyaaaa Belarus kashakiwasha huku
Belarus launches 4 ballistic missiles targeting western #Ukraine - KI
Ha ha ha...Mwamba kasema yeyote atakae shoboka atapata pigo la paka Alie kula mboga ya wageni
muda huu kiev inaenda kuchukuliwa. wanajeshi wa ukraine wameanza kusarenda
Yaani mimi najichekea tu humu. Watu wanashabikia utafikiri kinachoendelea on the ground ni mechi ya Simbana Yanga. Nijuavyo mimi taarifa za kijeshi na ulinzi kwa ujumla ni classified.Hata kama ni military man ni wa majeshi haya mawili yaani USA na russia wengi humu tuna mahaba.
Kwa nini abadilishe it’s breaking news intelligent yote inaonyesha ana copy Hitler .It’s in the news
Neo Nazi ngome yao ipo USA kijana acha kukalili kafuatilie makala za PBS Kuna kipindi wanakiita Frontline ingia YouTube upate namna Neo Nazi inavyosambaa USAHistoria inamhukumu aliyeshindwa na kumtukuza mshindi
Halafu historia haitokuwa kizazi chetu.
Hata Hitler, Neo Nazis wanamchukulia ni shujaa mkubwa kuwahi kutokea duniani
Na hao Neo nazingome kubwa ipo Ukraine
Kama unataka kujua how crazy narcisstic Putin is ame copy speech ya Hitler .he is a sick menKwa nini abadilishe it’s breaking news intelligent yote inaonyesha ana copy Hitler .It’s in the news
Wewe kwa akili zako hizo fupi unafikiri mtu anayetumia silaha za nyuklia yeye haziwezi kumdhuru.!Watu wanaichukulia poa Urusi pia wanadhani Puttin ni Rais wa maneno la haha,Rais Puttin ni mtu hatari na Mzalendo kwa nchi yake! Yupo tayari kwa lolote kuliko kuacha nchi yake ionewe na wapuuzi wa magharibi...
Hata White House ya Bush ilitaka regime change ilipoivamia Iraq kwa sababu za uongo.Secretary of State blanken is breaking news tonight View attachment 2130415
WAKRISTU duniani wanataka UKRAINE ilindwe bila vita, WAISLAMU duniani wanashabikia URUsi iipige ukraine na kuiangamiza, ni ipi dini bora? wapagani wafuate dini ipi?Salaam Wakuu,
Thread hiiya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Nchi Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianchojiri...
Remember Hii sio 1945 Hitler no internet .Vita ni ushetani Sasa Hivi .Putin ashaanza ushetani ataendelea na Hitler alianza kuvamia one country to another walivyomstukia it was too late .Wasirudie mistakeAta Kichaa kabla ajavuka Barabara huwa anaangalia usalama kwanza. Putin Hawezi kuingamiza Russia kwa ujinga kama huo