LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Acha niendelee kuangalia habari tu!
Hivi BBC nao wana upande UPI? Manaake km kila vyombo vya habari viko biased manake taarifa sio sahihi?!!
 
Kwanini Ukraine anajivuta kufanya maamuzi ya kujiunga NATO?kwasababu kiusalama hayupo vizuri alitegemea siku Urusi akilianzisha yeye atakuaje?
Ukraine ana rasilimali nyingi na ndio nchi iliyo kua ikitunza mabom ya nyuklia mengi baada ya ussr kuvunjika
 
Secretary of State blanken is breaking news tonight
550FC7A9-F01B-40BF-BABA-2EF1B585FCB0.jpeg
 
Hata kama ni military man ni wa majeshi haya mawili yaani USA na russia wengi humu tuna mahaba.
Yaani mimi najichekea tu humu. Watu wanashabikia utafikiri kinachoendelea on the ground ni mechi ya Simbana Yanga. Nijuavyo mimi taarifa za kijeshi na ulinzi kwa ujumla ni classified.

Ukiona zimeachiwa kwenye public jua hizo taarifa hazina uzito tena kwao. Yaani kabisa mmatumbi wa Kilwa ujue silaha za ulinzi za Marekani au Urusi na uweze kufanya analysis ya kujua who wins and who loses the battle!?

They should give us a break kwa kweli 😂😂😂
 
Nani
Historia inamhukumu aliyeshindwa na kumtukuza mshindi

Halafu historia haitokuwa kizazi chetu.

Hata Hitler, Neo Nazis wanamchukulia ni shujaa mkubwa kuwahi kutokea duniani

Na hao Neo nazingome kubwa ipo Ukraine
Neo Nazi ngome yao ipo USA kijana acha kukalili kafuatilie makala za PBS Kuna kipindi wanakiita Frontline ingia YouTube upate namna Neo Nazi inavyosambaa USA
 
Ata Kichaa kabla ajavuka Barabara huwa anaangalia usalama kwanza. Putin Hawezi kuingamiza Russia kwa ujinga kama huo
 
Watu wanaichukulia poa Urusi pia wanadhani Puttin ni Rais wa maneno la haha,Rais Puttin ni mtu hatari na Mzalendo kwa nchi yake! Yupo tayari kwa lolote kuliko kuacha nchi yake ionewe na wapuuzi wa magharibi...
Wewe kwa akili zako hizo fupi unafikiri mtu anayetumia silaha za nyuklia yeye haziwezi kumdhuru.!
 
Salaam Wakuu,

Thread hiiya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Nchi Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianchojiri...
WAKRISTU duniani wanataka UKRAINE ilindwe bila vita, WAISLAMU duniani wanashabikia URUsi iipige ukraine na kuiangamiza, ni ipi dini bora? wapagani wafuate dini ipi?

ipi inataka amani na upatanisho, madhehebu hayo kwa Afrika Mashariki hayajaonyesha mrengo wowote.
 
Ata Kichaa kabla ajavuka Barabara huwa anaangalia usalama kwanza. Putin Hawezi kuingamiza Russia kwa ujinga kama huo
Remember Hii sio 1945 Hitler no internet .Vita ni ushetani Sasa Hivi .Putin ashaanza ushetani ataendelea na Hitler alianza kuvamia one country to another walivyomstukia it was too late .Wasirudie mistake
 
Back
Top Bottom