NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Russia bila maNyuklia ni wachumba TU.Kwenye hii vita wangekutana na nchi yenye mifumo thabiti ya kujilinda na makombora na yenye silaha za uhakika, wangekuwa wameshamalizika.
Ukraine lilikuwa jambo la Soviet union,ni sawa na Zanzibar iisumbue Tanzania bara.Wangekutana na nchi iliyokamilika kama ufaransa au uingereza, Russia wangeomba poo!!
Nilidhani baada ya ile ya "kyiv kugeuka majivu ndani ya saa 24 tu" kufail,sasa hivi mgekuwa mnatuletea habari za uhakika.Tutakukumbusheni tena na hili baada ya siku tatu,msije kuwa wakali tena hapa Frustration Tshukrine kwa sasa ipo chini ya mrusi hakiingii kitu bila ruska ya urusi .zelensky kakikili nato waoga kilibaki ni vita za video za propaganda zidi ya warusi. wanaume wa ukraine wanavaa nguo za kike kisha kukimbia vita si mchezo kuhusu vita ya uchumi nakukumbusha urusi sio tandaimba au kwa mtogole rejea iran
Hebu nipe hii page niwe naenda kujitizamia mwenyeweUsemacho ni kweli kabisa.Kwasasa nikitaka kupata uhalisia kuna page moja kule Istagram inaweka uhalisia ya pande zote mbili,kuna clip kibao ambazo baadhi pia zimeshaletwa hapa mambo ni magumu kotekote na si kama tunavyotaka kuaminishwa hapa na Pro Russia wa JF na clip za upande wanaoushabikia.
Kugeuke majivu manataka mtuliie raia wa Tanzania mule na nchi mbalimbaliNilidhani baada ya ile ya "kyiv kugeuka majivu ndani ya saa 24 tu" kufail,sasa hivi mgekuwa mnatuletea habari za uhakika.Tutakukumbusheni tena na hili baada ya siku tatu,msije kuwa wakali tena hapa Frustration Tsh
Kweli huyo mwamba, yaani kishaziunganisha kwa kiasi kikubwa nchi hizo tayariDecree on simplification of entry into Russia from the territories of the DPR, LPR and Ukraine:
- from March 5, foreign citizens and stateless persons from the territories of the Luhansk People's Republic, the Donetsk People's Republic and Ukraine can enter the Russian Federation without a visa, with identification documents;
- they can stay in Russia up to 15 days from the date of crossing the state border.
View attachment 2140609
Una hoja mufilisi sana, kila siku unang'ang'ana na hiyo kauli iliyotolewa na waNATO wa kwa mtogoleNilidhani baada ya ile ya "kyiv kugeuka majivu ndani ya saa 24 tu" kufail,sasa hivi mgekuwa mnatuletea habari za uhakika.Tutakukumbusheni tena na hili baada ya siku tatu,msije kuwa wakali tena hapa Frustration Tsh
Ha ha ha propaganda zingine acha tuzisome tu hivyo hivyo.The majority of Russians (71%) support the decision to conduct a military special operation in Ukraine.
The VTsIOM poll showed that 70% of citizens are sure that it is going well. Rather unsuccessfully, say 14%. At the same time, 84% trust the Russian army.
46% of compatriots believe that the operation is needed to protect Russia and prevent the deployment of NATO military bases in Ukraine, and 18% - to protect the population of the DPR and LPR. Only 5% think that the Russian Federation wants to occupy a neighboring country.View attachment 2140590
Nilijua tu nikigusa panapouma mtafuruka kutoka Moscow ya kingolowila mkiwa mmefura kama mmemeza Bicarbonate soda ya kuumulia maandazi😂Una hoja mufilisi sana, kila siku unang'ang'ana na hiyo kauli iliyotolewa na waNATO wa kwa mtogole
Jana na Juzi nilisema Ukraine ana buy time kwa kung'ang'ania mazungumzo ili siku zipite nyingi, serikali ya Ukraine imebakia 15% tu na ndani ya siku mbili hizi utasikia tu Ukraine battery low power offUna hoja mufilisi sana, kila siku unang'ang'ana na hiyo kauli iliyotolewa na waNATO wa kwa mtogole
KumSupport Putin anayeua raia wasio na hatia,wanawake na watoto,ni lazima uwe mvutaji wa bangi mzuri,tena ile ya makete au arachuga🤔Ni swali dogo mwanangu. Umewahi kuvuta bangi chooni!? Jibu ndio au hapana.
Hizi habari za Russia kuivamia Ukraine na ndani ya 24hrs wamemaliza na kuifanyia Kiev majivu wewe umezipata wapi mkuu! Au ndio mnalishwa na kuchukua kila kitu mnachosoma mitandaoni. Operations za kijeshi sio chai ama urahisi kama tinavuotype kwenye keyboard zetu mkuu.Nilidhani baada ya ile ya "kyiv kugeuka majivu ndani ya saa 24 tu" kufail,sasa hivi mgekuwa mnatuletea habari za uhakika.Tutakukumbusheni tena na hili baada ya siku tatu,msije kuwa wakali tena hapa Frustration Tsh
Wenzio wanaotuambia habari za majivu hawajiulizi hiki ulichokisema hapaKugeuke majivu manataka mtuliie raia wa Tanzania mule na nchi mbalimbali
Ubongo wako iko nashida mahalaNilidhani baada ya ile ya "kyiv kugeuka majivu ndani ya saa 24 tu" kufail,sasa hivi mgekuwa mnatuletea habari za uhakika.Tutakukumbusheni tena na hili baada ya siku tatu,msije kuwa wakali tena hapa Frustration Tsh
Palestrina sio watu wanaikufa?KumSupport Putin anayeua raia wasio na hatia,wanawake na watoto,ni lazima uwe mvutaji wa bangi mzuri,tena ile ya makete au arachuga[emoji848]
Usipo kunwa vizuri unakuja kutupigia kelele humu.Ha ha ha propaganda zingine acha tuzisome tu hivyo hivyo.