Drones zinaangushwa nyingi kila siku mnapiga kelele hapaHivi mnakumbuka Russia ilivokuwa inapinga kutumia Drone za Iran [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ila Russia na Pro Russia wanakazi sana kututea baadhi ya mambo
Walisema humu ijumaa litakuwa tayari vijana wa General mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee
Unawashwa papaHaha pole sana. Next time kabla huja copy na ku paste, soma contents
Huyo msemaji wa Moscow si sawa na wasemaji wa yanga na simba kuongea na kulumbana tu kila kitu.
Hupima kipi cha kusema na kipi cha kutunza.
Nadhani mawe nimeyakwepa kwa asilimia 95Warusi wenzako watakupiga mawe[emoji16]
Twende kazi.View attachment 2386987
Vladimir Putin took part at the CIS summit in Astana: Key statements
▪️CIS countries are making vigorous efforts to switch to settlements in national currencies;
▪️It is necessary to use goodwill to the maximum in resolving any conflicts and disputes in the CIS region;
▪️Macron's statements about the allegedly destructive role of the Russian Federation on Karabakh are unacceptable and incorrect;
▪️Moscow will provide maximum assistance in the creation of an international organization for the support and promotion of the Russian language under the auspices of the CIS. In December 2020, the leaders of the association decided to declare 2023 the year of the Russian language as the language of interethnic communication in the CIS.
Huyo msemaji wa Moscow si sawa na wasemaji wa yanga na simba kuongea na kulumbana tu kila kitu.
Hupima kipi cha kusema na kipi cha kutunza.
Hizi nchi zina akiba ya kutosha ya nishati na gesi hivyo zahitaji ulinzi na kulindana.CIS leaders decided to create an international organization to support and promote the Russian language
9 member states
Wakijielewa wenyewe inatosha MKUUHawaa urrusi wa hovyoo sana, kwanza hata hawaeleweki watu wa aina gani kwa Wazungu hawapo kwa na kwa Waasia hawapo.