Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
.
Ben Wallace ajulikana ni tajiri na ana uhusiano na makampuni ya silaha na vifaa vya kiusalama.Someni taarifa hiyo Kenge nyie pro Russia View attachment 2386493
Si kuna takwimu zilizotolewa zikionyesha kwamba nusu ya vifaru wanavyotumia ni vya Urusi ambavyo walivipokonya kutoka kwa wanajeshi wa Urusi..??Dah kwahyo urusi inalipua vifaru vyake mwenyewe?
Urusi ni Kama popo,hajulikani kama ni mnyama au ndege [emoji1787][emoji16]Hawaa urrusi wa hovyoo sana, kwanza hata hawaeleweki watu wa aina gani kwa Wazungu hawapo kwa na kwa Waasia hawapo.
Unanikumbusha World War II, Japanese Kamikaze Pilots.Zikienda hazitakiwi kurudi... Hatari sana
Hawaa urrusi wa hovyoo sana, kwanza hata hawaeleweki watu wa aina gani kwa Wazungu hawapo kwa na kwa Waasia hawapo.
Lini Russia walipinga kutumia Drones za Iran?Hivi mnakumbuka Russia ilivokuwa inapinga kutumia Drone za Iran 😅 😅 😅
Ila Russia na Pro Russia wanakazi sana kututea baadhi ya mambo
The Russian presidential press secretary, Dmitriy Peskov, has dismissed media reports about the supplies of Iranian-made combat drones to Russia as “fake news.”Lini Russia walipinga kutimia Drones za Iran?
“The Washington Post, unfortunately, has been publishing a lot of fake news stories lately,” Peskov said on August 30, while commenting on the article by The Washington Post.
“As for our relations with Iran, they are developing dynamically, they have developed before, they are developing now and will continue to develop,” he added.
"The Islamic Republic of Iran considers the published reports on the delivery of drones to Russia in order to be used in the Ukraine war as baseless and does not confirm them," Kanani said on October 3, according to the Fars news agency.
Nimekupa ushahidi wa Taarifa hadi za msemaji wa Putin, Utawala wa Putin ni wa kifashisti 😅😅😅Lini Russia walipinga kutumia Drones za Iran?
Hiyo yote ni part ya propaganda war.The Russian presidential press secretary, Dmitriy Peskov, has dismissed media reports about the supplies of Iranian-made combat drones to Russia as “fake news.”
Iranian Foreign Ministry Spokesperson Nasser Kanani has dismissed reports claiming that Iranian-made drones were being sent to Russia "for use in the war in Ukraine," calling them "baseless."
![]()
Kremlin Denies Reports of Iranian Drone Deliveries to Russia
The Russian presidential press secretary, Dmitriy Peskov, has dismissed media reports about the supplies of Iranian-made combat drones to Russia as &lcaspiannews.com
Kijana Dunia imebadilika sana
Huyo msemaji wa Moscow si sawa na wasemaji wa yanga na simba kuongea na kulumbana tu kila kitu.Nimekupa ushahidi wa Taarifa hadi za msemaji wa Putin, Utawala wa Putin ni wa kifashisti 😅😅😅