Wewe dogo kusoma hicho kitabu cha economic hitman juzi ndio unajiona master au sio ?
Hicho kitabu nimekisoma Kabla hujajua hata kusoma au kuandika , nimesoma vitabu tena zile volumes za page 800+ tena vitabu volumes za manguli WA uchambuzi kama akina Noam Chomsky ,sidhani hata kama ulishalisikia hili jina na si utopolo wenu huo WA vitabu vya page 100, vitabu ambavyo nishavisoma nikianza kuvi upload humu unaweza kimbia dogo ,Nina harddrive nzima ya vitabu kuanzia global politics , warfare ,sciences ,history ,economics , espionage ,novels , NK na vyote nishavimsliza na bado kila wiki kuna kitabu nakisoma na kukimaliza ,nyie madogo bado ni weupe mno .
So be humble kid .