Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nikiangalia mwenendo wa hii vita naweza sasa kusema kitu. UKRAINE imekubali kuwa PRACTICAL FIELD, yaan nchi zote zitaenda kujalibia umadhubuti wa silaha zake pale kwa mgongo wa msaada.

Urusi pia anatest kama makombora yake yana accuracy nzuri kwenye shabaha nk.

Urusi mwanzoni kabisa alijaribia kutumia makombora yake mapya na yakafanikiwa na hajayatumia tena, Juzi alitumia silaha za Mionzi kuzima Setelaiti na alifanikiwa na nahisi hatotumia.

USA alituma HIMARS kutest ubora wake ambapo zimempa 50/50 hivyo nadhani wanaingia maabara kuziboresha.

Nchi nyingi wanapeleka drone ili kupima uwezo wake, ili baadae watafute soko la maana.

Hali hii inapelekea USA kutaka kucheleweshwa kwa mzozo huu ilia aendelee kutest ufanisi wa aina mbalimbali za silaha zake

Urusi anapofanikiwa kupiga makombora sehemu zenye Air defense za kutosha ana akafanikiwa basi aina hiyo ya makombora hatumii tena, na ikitokea yametunguliwa mengi basi wanarudi maabara na watakuja nayo tena.

UKRAINE wawe makini sana, tena sana
Umeongee mkuu December twenzetu tukahesabiwe
 
Wizara ya Ulinzi ya Russia ime-publish video ikionesha Kamikaze drones zinazonasibishwa na Iran zikitarget na kuchoma live vifaru vya Ukraine, mizinga ya NATO (self Propelled-artillery pieces), armored car la Marekani (US-made HMMWV armored car), na gari la kiraia lililokuwa linatumiwa na kikundi cha wanajeshi.



=====


13 Oct, 2022 18:06
HomeRussia & FSU

Russian military shares video of kamikaze drone strikes​

New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles

The Russian Ministry of Defense has published new footage of kamikaze drone strikes against Ukrainian troops. The attacks were carried out in the “Nikolayev-Krivoy Rog axis,” the military said, apparently referring to combat ongoing in the new Russian region of Kherson, where Kiev forces continue their attempts to dislodge the country’s military from their positions.

The video was shared by the military on Thursday, and incorporates footage captured by kamikaze drones and surveillance UAVs that were observing the strikes. The video shows direct hits on Ukrainian tanks, self propelled-artillery pieces, a US-made HMMWV armored car, and an unmarked civilian car used by a group of soldiers.

“As a result of the use of the UAVs, several tanks, self-propelled artillery pieces and wheeled vehicles, including those supplied by NATO countries, were destroyed,” the ministry said in a statement.
While the military did not explicitly identify the munitions used during the strikes, footage suggests it was an upgraded version of a Lancet kamikaze drone. Developed by the subsidiary of the Kalashnikov concern, Zala Aero, the drone packs a 5kg warhead and is capable of staying in the air for over an hour. Unlike the earlier version of Lancet, the upgraded drone has larger front and smaller tail wings, while the former had two symmetrical X-shaped wings.
 
ab60b08263c42e273125c5d0c87023dd.png
 
Ukraine wapo nchini Urusi? Kwa mujibu wa warusi jibu ni ndio kwa sababu Urusi alipigisha kura na kuhitimisha kwa kusaini makaratasi kuwa sasa yale majimbo ni Urusi.

Urusi amefanya nn mpaka sasa kwa kuvamiwa ardhi yake? Jibu ni amepiga makombora mengi sana kuelekea Kyiv.

Makombora ya Urusi yamewaondoa Ukraine Urusi? Jibu ni hapana bado wapo huko.

Kama kawaida, hakuna haja ya kutumia nguvu kufanya analysis, mambo ni mepesi. Muda utasema nani mshindi.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2386700
Elon Musk no longer wants to pay for the Internet for the Armed Forces of Ukraine, writes CNN.

"SpaceX satellite services are critically important for the Ukrainian army."

Approximately 20 thousand Starlink devices were donated to Ukraine. It cost SpaceX $80 million and will exceed $100 million by the end of the year.

SpaceX warned the Pentagon in a letter that it could stop funding the service in Ukraine if the US military did not take the costs on itself.

It is difficult to overestimate the impact of Starlink on combat operations. The Ukrainian Armed Forces use it not only for voice and electronic communication, but also for drone control and video transmission to adjust artillery fire.

In July, General Zaluzhny wrote a letter to Musk, praised the "exceptional usefulness" of Starlink and said that the Ukrainian Armed Forces deployed about 4,000 terminals. However, during the fighting, about 500 pieces per month are destroyed. Therefore, he asks for another 8 thousand devices.

SpaceX's demand that the

Urussi wamemfanya nini Elona??[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom