Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko kherson ni maafa kwa Ukraine
FB_IMG_16656786350487100.jpg
fb_img_16656786322981330-jpg.2386203
 

Attachments

  • FB_IMG_16656786322981330.jpg
    FB_IMG_16656786322981330.jpg
    164.1 KB · Views: 38
Akiamua kutumia nuclear Vita vinaisha mapema kwa hiyo uwezo wa kumaliza Vita mapema anao sema madhara ya nuclear ni makubwa Sana kwa hiyo hawawezi kutumia.akiamua kutumia nuclear Ukraine hakuna anayeweza kumgusa Kwa sababu Wana mabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote.wakiamua kutumia Yale madogo Ukraine hakuna wa kumgusa.sema madhara yake ni makubwa Sana.uwezo wanao
Ndio unavyowadanganya kwenye kijiwe cha bangi hapo wenzako sio ?
 
Hivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.
Wewe Acha upumbav ,Nani kakudanganya Russia ndio ina mabomu makubwa na mabaya ya nyuklia ? Au unadhani kila mtu mbugila humu
Peleka Huu ujinga Kwa ngumbaru wenzako .wewe ulishayaona hayo mabomu ya nuclear ya Russia ?
 
Akiamua kutumia nuclear Vita vinaisha mapema kwa hiyo uwezo wa kumaliza Vita mapema anao sema madhara ya nuclear ni makubwa Sana kwa hiyo hawawezi kutumia.akiamua kutumia nuclear Ukraine hakuna anayeweza kumgusa Kwa sababu Wana mabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote.wakiamua kutumia Yale madogo Ukraine hakuna wa kumgusa.sema madhara yake ni makubwa Sana.uwezo wanao
Vichekesho kama hivi mnavitungaje? 😁
 
Hivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.
Mkuu,
Unajua mambo machache sana. Bahati mbaya haujui kuwa haujui. Pole.
 
Pro nato wengi wanachukia maandishi ni wachache sana ndio huenda wasomaji wao asilimia kubwa ulimwengu wanauelewa kutokana na taarifa za hbr hasa bbc dw voa n.k

Kama kuna pro nato ataenda kusoma hivo vitabu naomba nitag mkuu
Wewe dogo kusoma hicho kitabu cha economic hitman juzi ndio unajiona master au sio ?
Hicho kitabu nimekisoma Kabla hujajua hata kusoma au kuandika , nimesoma vitabu tena zile volumes za page 800+ tena vitabu volumes za manguli WA uchambuzi kama akina Noam Chomsky ,sidhani hata kama ulishalisikia hili jina na si utopolo wenu huo WA vitabu vya page 100, vitabu ambavyo nishavisoma nikianza kuvi upload humu unaweza kimbia dogo ,Nina harddrive nzima ya vitabu kuanzia global politics , warfare ,sciences ,history ,economics , espionage ,novels , NK na vyote nishavimsliza na bado kila wiki kuna kitabu nakisoma na kukimaliza ,nyie madogo bado ni weupe mno .
So be humble kid .
 
Back
Top Bottom