Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndio Maana ninasema wewe hujielewi ,kujadiliana na wewe ni kupoteza muda ,hiyo miundombinu mnajenga Kwa pesa zenu ? , Miundombinu nyingi ni grants na mikopo mnayopewa toka Kwa hao hao mnaoandika trash humu kuhusu wao ? ,Ni wapi miradi ya barabara na maji ilizuiwa Afrika ?
Hivi unajielewa kweli wewe , serikali zenu zimeshindwa kujenga visima vya maji Tu ? Can you imagine ,nenda Singida na Dodoma pale uone watu wanavyoishi kama punda , na hivyo visima vichache vimejengwa na USAID na civil NGOs. Nyingine za western countries kama DaNiDA nk , we jamaa sijui unaandika upupu gani hapa .

Unaongelea wao kupinga bwawa la umeme ,umeshajiuliza ni sababu gani ilikuwa inawasababisha wapingane na ujenzi WA Hilo bwawa ?
Suala la EACOP muwekezaji mkubwa kwenye huo mradi ni Total sijui hata unaongea ujinga gani aisee , Total ni Kampuni ya kifaransa na wameexist Kwa miaka mingi kwenye hiyo sekta , kwao wanapata backlash toka Kwa green energy movements , NGOs na activists wanaopambana na suala la dunia kuachana na fossil fuels na kutumia nishati mbadala ,wanaweka presha Kwa serikali ya ufaransa kuwapa presha EACOP waachane na mradi Kwani global direction ni towards sustainable energy sources , na hii wanafanya hata huko kwao mfano coal fired thermal power plants na miradi ya ujenzi WA mabomba ya mafuta almost zote zimefungwa na hazifanyi kazi tena pale Europe , pia suala la oil wanaweka presha kufikia 2030 Europe itumie magari yanayotegemea nishati ya umeme , na kupiga total ban ya magari yanayotumia mafuta hii ni kupambana na green houses emmisions toka kwenye fossil fuels .

Sijui kama unajua lolote kuhusiana na Paris Agreement kuhusu new green deal na hii nchi kibao dunia nzima ziliridhia makubaliano ya kuondokana na Matumizi ya fossil fuels kama makaa ya mawe na mafuta , itaonekana ni unafiki na mfano mbaya Kwa France kuwa pale kama host na mwenyekiti WA Yale makubaliano ya Paris ya kutunza mazingira na kuachana na fossil fuels halafu wanaacha kampuni Lao liendelee na kufungua miradi ya uzalishaji WA fossil fuels wakati makubaliano na targets zilizowekwa pale Paris ni tofauti .

Suala la bwawa la umeme kila mtu anajua ilikuwa ni concerns za kimazingira katika Ile hifadhi ya Selous na ni kweli kwani kulikuwa hakujafanyika environment impact assessment study Kwa huo mradi , miradi ya ujenzi WA mabwawa huwezi kujenga kama wewe unavyoamua kwenda kijijinini kwenu kujenga squatter houses ,ni lazima assessment ya mradi na imapct za kimazingira zifanyike Kwanza ,kitu ambacho serikali ya Tz haikufanya na ukawa inafirce Tu mambo bila kufuata standards na requirements zinazotakiwa hiki kitu hata Brasil pia na nchi kibao hata za Europe kinatokea , Brasil wamezuiwa kufanya miradi ya kujenga mabwawa ndani ya Amazon mpaka wafuate procedures Kwa sababu kuna uharibifu mkubwa WA kimazingira unaweza fanyika mule hasa deforestation kitu ambacho hata Selous hapa kwetu kwenye ule mradi WA umeme kimetokea Sana ,hapo huwezi jua biodiversity ambavyo imeathirika na huo mradi , and wanapewa presha na UN environmental agencies na government nyingine Kwa sababu unapoharibu mazingira hauharibu kwako Tu unaleta impacts Kwa wengine pia .

Environmental activism haifanyiki dhidi ya nchi za KiAfrica Tu IPO Hadi US ,kulikuwa na mega project ya ujenzi WA bomba la mafuta toka Canada kuna kwenye refineries za Ohio na Texas ambalo kama lingekamilika lingekuwa ndio bomba la mafuta refu kuliko yote dunia hii ,lakini Green movement activists walipambana na kuipa presha serikali ya USA mpaka mradi ukazuiwa na sababu ilikuwa ni environmental concerns kama za leakage ya mafuta kwenye mito na mahala Hilo bomba linapopita mpaka kufika kule Texas , deforestation na loss ya biodiversity na lingine lilikuwa ni kuharibu ancestral burial lands za red Indians WA hapo US .
Project ya Keystone pipeline USA
Ingia mtandaoni usome uone kinachoendelea dunia hii , sio kujifungia na bullshit conspiracy theories zisizo na kichwa wala miguu .
Asipokuelewa hapa basi atakuwa na mtindio wa ubongo [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tukiweka ushabiki pembeni Russia anapigana vita katika katika.mazingira magumu.sana, huku kuna vikwazo na kuna nchi zinapenda kumuunga mkono lakini kuna nyundo ya wababe wa ulaya magharibi na USA zinaogopa. Siamini katika dunia hii kama.kuna nchi inaweza pigina vita katika mazingira haya. Pamoja na haya nilitegemea nchi nyonge hasa za kiafrika zitumie fursa hii kupindua meza na kujenga mazingira ya kujitegemea kisiasa na kiuchumi kupitia mgongo wa haya yanayoendelea katika siasa za kidunua kupitia mbeleko.ya Russia. Titaumia kwa kipindi.Fulani maana misaada itasitishwa ila mbeleni tutasimama kwa kujitegemea na kuheshimika
 
Hawa kenge wa NATO wanachangishana magobole

Britain to Donate Air Defense Systems to Ukraine

UK Defense Secretary Ben Wallace announced Thursday that Britain would donate air defense systems to Ukraine in the coming weeks ahead of Thursday’s NATO meeting in Brussels.

Hundreds of air defense missiles that can be used with the National Advanced Surface-to-Air Missile System provided by the US and 18 howitzer artillery guns will also be supplied to Kiev.

The first of four German IRIS-T air defense systems arrived yesterday in Ukraine, while French President Emmanuel Macron promised Wednesday that Paris would send radar and air defense systems in the coming weeks.

Subscribe to RT
 
Putin Suggests Türkiye Gas Hub to Erdogan

The Russian and Turkish Presidents met one-on-one on the sidelines of the CICA summit in Kazakhstan, as Vladimir Putin broached the concept of developing a pipeline and gas hub in Türkiye, if interest in the proposal is reciprocated.

Putin added that he could be a platform not only for deliveries, but also for determining prices, while pointing out gas supplies to Türkiye are in full, the country turned out to be the most reliable partner.

“Thank God the Turkish Stream pipeline is still working,” Putin added, referencing attempts to blow it up, while stressing Türkiye has been the most reliable route for supplying gas to Europe.

Subscribe to RT
 
North Korea Releases Latest Missile Test Results

North Korea has claimed another victory in proving its nuclear warfare capability, declaring two cruise missiles that it launched on Wednesday successfully reached their targets 2,000 kilometers away.

The two missiles flew over the Yellow Sea, between the Korean Peninsula and China, and were in the air for nearly three hours before they “clearly hit” their unidentified target, according to a report by Pyongyang’s state-run KCNA media outlet. North Korean leader Kim Jong-un oversaw the launches and expressed “great satisfaction” with the test results.

Just last week, North Korea conducted its longest-range missile test on record, firing a projectile over Japan on a 4,600km flight. The country’s Hwasong-17 ballistic missile reportedly has a range of at least 15,000km, bringing US targets within reach.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23]

Katibu mkuu wa NATO atoa mlio wa Uwoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hataki Umoja wao kuingizwa kwenye kipigo cha Ukraine kaanza kulialia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji779]Attack on NATO allies would trigger Article 5, but Ukraine is not a member of the alliance – Stoltenberg

“NATO is not party to the conflict, but we will continue to support Ukraine no matter how long it takes,” the alliance chief said

Just In @RT_India_official
 
Vita kumbe si mchezo, Urusi bado anahangaika tu na ka nchi kadogo hako. Vita ni gharama kubwa sana, hata urusi ashinde vita kivipi adhari zake ni za vizazi vingi, vita sio jambo la kushabikia wala kulikimbilia hata kidogo
Hakuna nchi inayopenda vita ya muda mrefu..,hata Russia alitegemea ataitiisha Ukraine ndani ya saa 72 tu na kumaliza mchezo..,Ili lilidhihirishwa pia na coments za pro Russia humu jukwaani waliokuwa wanaamini hivyo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums1978367702.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vita kumbe si mchezo, Urusi bado anahangaika tu na ka nchi kadogo hako. Vita ni gharama kubwa sana, hata urusi ashinde vita kivipi adhari zake ni za vizazi vingi, vita sio jambo la kushabikia wala kulikimbilia hata kidogo
Hivi nyie team NATO akili mnaziacha wapi Ukraine sio nchi dhaifu kijeshi na pia wamesapotiwa kuanzia mwaka 2014 na NATO.
 
Hakuna nchi inayopenda vita ya muda mrefu..,hata Russia alitegemea ataitiisha Ukraine ndani ya saa 72 tu na kumaliza mchezo..,Ili lilidhihirishwa pia na coments za pro Russia humu jukwaani waliokuwa wanaamini hivyo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2386182

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wapi alisema atamaliza vita Kwa muda mchache?hivi mnaakili kweli hata marekani akipigana na Tanzania hawezi kumaliza Vita Kwa muda mchache hiyo haihitaji Akili nyingi kujua.Russia hawezi kuwa mjinga kusema hivyo wakati anajua Ukraine anasapotiwa na NATO tangu 2014.kuwa na akili
 
Tukiweka ushabiki pembeni Russia anapigana vita katika katika.mazingira magumu.sana, huku kuna vikwazo na kuna nchi zinapenda kumuunga mkono lakini kuna nyundo ya wababe wa ulaya magharibi na USA zinaogopa. Siamini katika dunia hii kama.kuna nchi inaweza pigina vita katika mazingira haya. Pamoja na haya nilitegemea nchi nyonge hasa za kiafrika zitumie fursa hii kupindua meza na kujenga mazingira ya kujitegemea kisiasa na kiuchumi kupitia mgongo wa haya yanayoendelea katika siasa za kidunua kupitia mbeleko.ya Russia. Titaumia kwa kipindi.Fulani maana misaada itasitishwa ila mbeleni tutasimama kwa kujitegemea na kuheshimika
Huo ndio ukweli mchungu.. jamaa wanapigana vita katika mazingira magumu sana.., ndio maana kwa sababu ya "panic"" urusi Kwa Sasa analipua chochote kilichopo mbele yake ..,bila kujari target yoyote ya kijeshi..,hili ni dalili ya mtu aliyevurugwa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna nchi inayopenda vita ya muda mrefu..,hata Russia alitegemea ataitiisha Ukraine ndani ya saa 72 tu na kumaliza mchezo..,Ili lilidhihirishwa pia na coments za pro Russia humu jukwaani waliokuwa wanaamini hivyo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2386182

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila kama akitumia nuclear Vita vinaisha ndani ya muda mfupi
 
Wapi alisema atamaliza vita Kwa muda mchache?hivi mnaakili kweli hata marekani akipigana na Tanzania hawezi kumaliza Vita Kwa muda mchache hiyo haihitaji Akili nyingi kujua.Russia hawezi kuwa mjinga kusema hivyo wakati anajua Ukraine anasapotiwa na NATO tangu 2014.kuwa na akili
Kwa hiyo unajaribu kuikana hiyo coment yako ya mwezi wa pili? Au ulikuwa ndo kwanza unaanza kubalehe, hivyo ulikuwa unaandika chochote,sio?

Kuwa mkweli tu mkuu maana matatizo ya vijana wanaoanza kubalehe nayajua vizuri sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ila kama akitumia nuclear Vita vinaisha ndani ya muda mfupi
Hiyo nyukria hata sisi tunatamani sana aidondoshe Ili wajanja wapate nafasi ya kumchakaza mazima..,na mpaka kufikia hapo nafikiri hii vita itaisha faster tu..,hizi danadana zinazoendelea zinatuumiza hata huku namtumbo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yanini kuendelea kupigana iwapo silaha hana.Na anachopewa anakitangaza hadharani.Hizo ni fitna za kuyagombanisha mataifa ya dunia nzima.Mataifa ya Ulaya yamuangalie sana huyu muigizaji shoga.
Kwamba na yeye ni mvaa diapers
 
Kwa hiyo unajaribu kuikana hiyo coment yako ya mwezi wa pili? Au ulikuwa ndo kwanza unaanza kubalehe, hivyo ulikuwa unaandika chochote,sio?

Kuwa mkweli tu mkuu maana matatizo ya vijana wanaoanza kubalehe nayajua vizuri sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Akiamua kutumia nuclear Vita vinaisha mapema kwa hiyo uwezo wa kumaliza Vita mapema anao sema madhara ya nuclear ni makubwa Sana kwa hiyo hawawezi kutumia.akiamua kutumia nuclear Ukraine hakuna anayeweza kumgusa Kwa sababu Wana mabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote.wakiamua kutumia Yale madogo Ukraine hakuna wa kumgusa.sema madhara yake ni makubwa Sana.uwezo wanao
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Russian language in post-Soviet countries should be strengthened.

This was stated by the foreign ministers of the CIS countries, discussing the possibility of creating an organization to promote it.

The proposal was put forward by Tokayev at an informal CIS summit.

The Russian president supported the idea.

Subscribe to @Sputnik
 
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.


View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
UN wanawasumbua nchi maskini tu lakini siyo nchi kama RUSSIA mikoa ndio ivyo imeshaenda na aitorudi kamwe mmeshasahau gueterez alivyokuja apo KIEV na watu wakapiga bomu karibu na Hotel aliyofikia
 
Back
Top Bottom