Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe ni mwehu ,unafikiri hao matajiri waliowekeza mitaji hapo Asia ni wapumbav sio ,hizo nchi ziliandaa policies na mazingira ya kuvutia hao wawekezaji , nchi za KiAfrica hazina viongozi wala wananchi wenye akili kutengeneza hayo mazingira , we Kwa akili yako unafikiri kuallocate big investment muwekezaji anaangalia huruma , biashara ni kutengeneza faida na kureduce cost ,sasa huo ujinga wako WA kwamba ni strategy ya kuisolate nchi za kiAfrica unautolea wapi ?
Hao waliopeleka pale mitaji Asia si serikali ni watu binafsi , nchi zenu zimejaa vilaza promax viongozi kila siku wanawaza upigani na kukandamiza wananchi ili wao na familia zao waishi kama wafalme ,uwajibikaji zero .
Mazingira mabovu ya uwekezaji na sekta binafsi ,+ insecurity na civil wars allover the continent zinazosababisha na tribalism ,udikteta na uchu WA madaraka . Huyo muwekezaji mnamtoa wapi ?
So umejijibu mwenyewe kwamba tatizo la underdevelopment Afrika ni tatizo la wananchi na watu wenyewe na si vinginevyo na sitarajii uendelee na kuandika ujinga wako WA kuandika vitu vya kufikiria tena .
Nitakuwa wa mwisho kwenye hilo kukubaliana nalo?
Nipe sababu kwa nini huwa wanakwamisha miradi mikubwa ya maendeleo Afrika?

Kwa nini kabla ya mwaka 2000 kuja juu investment kwenye miundombinu ilikuwa inawekewa zengwe?

IMF na WB walikuwa wanasita Kutoa loan kwenye Sekta ya Barabara kwa miaka dahari.

Kwa nini Bomba la mafuta hili la Afrika Mashariki limewekewa kigingi na nchi za Ulaya?

Kwa nini bwawa la Nyerere lilipingwa na Western World wakati wao 90% ya mito Yao wamewekeza kwenye uzalishaji wa Umeme?

Kwa nini hata kwa Nchi walizofikiri Zina Demokrasia imeshamiri ila western world bado reluctant kufanya hizo heavy investment.

Nenda kasome vitabu bado ubongo wako unaona mambo kwa mtindo wa kukaririshwa habari kutoka western European propagandist media.

Uwekezaji na Biashara pia unaangalia sera za Mataifa Yao hivyo hakuna Biashara iliyo huru duniani.
Mfano: Angalia Western companies zilivyojiondoa nchi ya Urusi kipindi hiki Cha special operation.

Hapo sijaweka puppet government walizoinstal kwenye African states ili ziserve intereste zao.
Refer France na west Africa region
 
Leo ndege Vita ya Ukraine imeingia kwenye 18 za RF Armed Forces na ikakutana na kitu chenye ncha kali..

The bomber took a hit by a missile. The crew decided to return to the airfield, but failed to do so and crashed on the territory of Poltava Oblast.

Screenshot_20221013-185636.jpg
 
We unaamini? Nchi ya Ukraine imeharibiwa vibaya sana, wamenyang'anywa mpaka ardhi yao, wamekaa kimya na kumzuga na silaha uchwara. Nani ataingiza nchi yake kwenye vita ya nyukilia eti sababu ya Ukraine.?

Hii vita haina hata nyukilia wamekaa kimya, wanasema hawataki direct vita na urusi.
Tunatamani ingekuwa hivi. Unfortunately mambo ni tofauti kwa ground.
 
Emoj iliyopo kwenye heading inahusiana vipi na uzi ? Enewei 😂😂😆😆😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Afisa wa ngazi ya juu wa NATO amesema Jumatano kwamba endapo rais wa Russia itatumia silaha za nuclear, basi “atajibiwa kwa nguvu zinazostahili” kutoka kwa washirika wa Ukraine na ikiwezekana, muungano wa NATO.
Hao NATO wana nguvu gani ya kumjibu Russia?!?! Hao NATO ni type ya Mandonga tu...wakianza tu kupiga ndiyo utakuwa mwisho wao....Mpaka Sasa nchi karibu 50 zinapambana na nchi moja....na wataanza kutumia kuni na mkaa....utadhani wapo Lushoto, Mufindi au Njombe...hopeless guys, and they are stupid too...
 
Nitakuwa wa mwisho kwenye hilo kukubaliana nalo?
Nipe sababu kwa nini huwa wanakwamisha miradi mikubwa ya maendeleo Afrika?

Kwa nini kabla ya mwaka 2000 kuja juu investment kwenye miundombinu ilikuwa inawekewa zengwe?

IMF na WB walikuwa wanasita Kutoa loan kwenye Sekta ya Barabara kwa miaka dahari.

Kwa nini Bomba la mafuta hili la Afrika Mashariki limewekewa kigingi na nchi za Ulaya?

Kwa nini bwawa la Nyerere lilipingwa na Western World wakati wao 90% ya mito Yao wamewekeza kwenye uzalishaji wa Umeme?

Kwa nini hata kwa Nchi walizofikiri Zina Demokrasia imeshamiri ila western world bado reluctant kufanya hizo heavy investment.

Nenda kasome vitabu bado ubongo wako unaona mambo kwa mtindo wa kukaririshwa habari kutoka western European propagandist media.

Uwekezaji na Biashara pia unaangalia sera za Mataifa Yao hivyo hakuna Biashara iliyo huru duniani.
Mfano: Angalia Western companies zilivyojiondoa nchi ya Urusi kipindi hiki Cha special operation.
Ndio Maana ninasema wewe hujielewi ,kujadiliana na wewe ni kupoteza muda ,hiyo miundombinu mnajenga Kwa pesa zenu ? , Miundombinu nyingi ni grants na mikopo mnayopewa toka Kwa hao hao mnaoandika trash humu kuhusu wao ? ,Ni wapi miradi ya barabara na maji ilizuiwa Afrika ?
Hivi unajielewa kweli wewe , serikali zenu zimeshindwa kujenga visima vya maji Tu ? Can you imagine ,nenda Singida na Dodoma pale uone watu wanavyoishi kama punda , na hivyo visima vichache vimejengwa na USAID na civil NGOs. Nyingine za western countries kama DaNiDA nk , we jamaa sijui unaandika upupu gani hapa .

Unaongelea wao kupinga bwawa la umeme ,umeshajiuliza ni sababu gani ilikuwa inawasababisha wapingane na ujenzi WA Hilo bwawa ?
Suala la EACOP muwekezaji mkubwa kwenye huo mradi ni Total sijui hata unaongea ujinga gani aisee , Total ni Kampuni ya kifaransa na wameexist Kwa miaka mingi kwenye hiyo sekta , kwao wanapata backlash toka Kwa green energy movements , NGOs na activists wanaopambana na suala la dunia kuachana na fossil fuels na kutumia nishati mbadala ,wanaweka presha Kwa serikali ya ufaransa kuwapa presha EACOP waachane na mradi Kwani global direction ni towards sustainable energy sources , na hii wanafanya hata huko kwao mfano coal fired thermal power plants na miradi ya ujenzi WA mabomba ya mafuta almost zote zimefungwa na hazifanyi kazi tena pale Europe , pia suala la oil wanaweka presha kufikia 2030 Europe itumie magari yanayotegemea nishati ya umeme , na kupiga total ban ya magari yanayotumia mafuta hii ni kupambana na green houses emmisions toka kwenye fossil fuels .

Sijui kama unajua lolote kuhusiana na Paris Agreement kuhusu new green deal na hii nchi kibao dunia nzima ziliridhia makubaliano ya kuondokana na Matumizi ya fossil fuels kama makaa ya mawe na mafuta , itaonekana ni unafiki na mfano mbaya Kwa France kuwa pale kama host na mwenyekiti WA Yale makubaliano ya Paris ya kutunza mazingira na kuachana na fossil fuels halafu wanaacha kampuni Lao liendelee na kufungua miradi ya uzalishaji WA fossil fuels wakati makubaliano na targets zilizowekwa pale Paris ni tofauti .

Suala la bwawa la umeme kila mtu anajua ilikuwa ni concerns za kimazingira katika Ile hifadhi ya Selous na ni kweli kwani kulikuwa hakujafanyika environment impact assessment study Kwa huo mradi , miradi ya ujenzi WA mabwawa huwezi kujenga kama wewe unavyoamua kwenda kijijinini kwenu kujenga squatter houses ,ni lazima assessment ya mradi na imapct za kimazingira zifanyike Kwanza ,kitu ambacho serikali ya Tz haikufanya na ukawa inafirce Tu mambo bila kufuata standards na requirements zinazotakiwa hiki kitu hata Brasil pia na nchi kibao hata za Europe kinatokea , Brasil wamezuiwa kufanya miradi ya kujenga mabwawa ndani ya Amazon mpaka wafuate procedures Kwa sababu kuna uharibifu mkubwa WA kimazingira unaweza fanyika mule hasa deforestation kitu ambacho hata Selous hapa kwetu kwenye ule mradi WA umeme kimetokea Sana ,hapo huwezi jua biodiversity ambavyo imeathirika na huo mradi , and wanapewa presha na UN environmental agencies na government nyingine Kwa sababu unapoharibu mazingira hauharibu kwako Tu unaleta impacts Kwa wengine pia .

Environmental activism haifanyiki dhidi ya nchi za KiAfrica Tu IPO Hadi US ,kulikuwa na mega project ya ujenzi WA bomba la mafuta toka Canada kuna kwenye refineries za Ohio na Texas ambalo kama lingekamilika lingekuwa ndio bomba la mafuta refu kuliko yote dunia hii ,lakini Green movement activists walipambana na kuipa presha serikali ya USA mpaka mradi ukazuiwa na sababu ilikuwa ni environmental concerns kama za leakage ya mafuta kwenye mito na mahala Hilo bomba linapopita mpaka kufika kule Texas , deforestation na loss ya biodiversity na lingine lilikuwa ni kuharibu ancestral burial lands za red Indians WA hapo US .
Project ya Keystone pipeline USA
Ingia mtandaoni usome uone kinachoendelea dunia hii , sio kujifungia na bullshit conspiracy theories zisizo na kichwa wala miguu .
 
Hawawezi pro west kwenda kusoma. Kuna mwingine nilimwambia aende akasome kitabu kinaitwa economic hitman mpaka leo sidhan kama alienda kisoma maana huwezi ukafananisha occupation na systematic slavery plus institutional slavery. Majority ya jamii za kiafrika wakoloni walidili sana na kuharibu daraja la watawala, wasomi, wataalamu, wafanyakazi na wagunduzi. Pia walihalibu sana mofumo ya kifamilia ya jamii za kiafrika pamoja na kuwatenga kabisa na historia zao kiufupi ilikuwa ni total annihilation of black civilization
Na hii ndio sababu tunakuwa na watu wanaowatetea wakoloni waliowanyonya na wanaoendelewa kuwanuonya
Kwa msaada zaidi kasome willie lynch letter itawasaidia kuelewa nani adui yenu
Dah...an excellent comment.....you have made me a day....
 
Yanini kuendelea kupigana iwapo silaha hana.Na anachopewa anakitangaza hadharani.Hizo ni fitna za kuyagombanisha mataifa ya dunia nzima.Mataifa ya Ulaya yamuangalie sana huyu muigizaji shoga.
 
Back
Top Bottom