Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Ukraine yasulubiwa na Urusi...
Wewe umewahi kuingiliwa na mwanaume?Hawa jamaa wakiishiwa hoja wanakimbilia ushoga tu .., utafikiri Kuna mgambo anawagongea mlango kila siku akiwalazimisha wawe shoga[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"Jomba" naona ww ndio unajiabisha bila shaka umeamia kufukia kichwa chako kwenye mchanga na sijui upo nchi gani kwa kukusaidia tu haya mambo kwa sada yanapamba moto kwenye nchi za west. Well nenda kafatailia issue za gender identity at young age mpaka elementary schools watoto wanfundishwa kuwa familia sio tu baba na mama inaweza kuwa pia baba na baba na mtoto au mama na mama na mtotoJombaa unajiaibisha Sana unasema wanafundisha mashuleni ushoga , we jamaa ni pimbi ,ni akina Nani hao ambao wanawafundisha vijana wenu ushoga mashuleni ?
Kuna mtu amekufata au kamfata mtoto wako akamlala nyuma Kwa lazima ?
Yaani unaandika nonsensical garbage tu , dude grow up !
Mpaka Sasa hii habari inaongoza kwa kuwa na quotes nyingi kutoka Kwa pro Russia, sijui tatizo ni nini hasa[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28]Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Nani alitawala india miaka 600Una hoja nzuri na inayofikirisha kwa nini Africa baada ya mika zaidi ya 50 tangu uhuru tuendelee kulalamika kuwa tulitawaliwa. tena Afrika kama Tanzania tulitawaliwa kwa miaka kama 100 tu wakati India ilitawaliwa kwa miaka 600.
Rudia comment zako uangalie kama hujavurugwa.Kama huelewi hoja ni Bora uwe unakaa kimya , tumia akili kujibu hoja ,sio kuandika ujinga hapa
Siyo ndoto kama umesikia Mubobezi wa vita, deputy secretary of defense of America Col. Amechambua vizuri sana. Wamarekani wenye akili kama huyu jamaa wanajua hilo especially military veterans.Hizo ni ndoto za alinacha, Russia ameshakuwa mdebwedo [emoji12]
Endeleeni kujifariji kwa maneno hayo lakini fashisti ataendelea kupelekewa moto tu..,ndo maana anaomba nafasi ya mazungumzo na anapuuzwa kila siku
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mengine sio mpaka utafuniwe, jaribu kushughulisha ubongo, kama India haikutawaliwa miaka 600 njoo na ushaidi uuweke hapa,Nani alitawala india miaka 600
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kinachopigana vita ya kisasa SI damu na nyama,Bali ni teknolojia..., Russia ata akileta jenelali mwenye ukatili zaidi ya Hitler bado mambo yatakuwa machungu sana kwake ,, kutokana na ukweli kwamba urusi ana upungufu mkubwa sana wa precision missiles kufuatia vikwazo vya west..., fikiria urusi anaenda kuomba silaha Iran na north KoreaSiyo ndoto kama umesikia Mubobezi wa vita, deputy secretary of defense of America Col. Amechambua vizuri sana. Wamarekani wenye akili kama huyu jamaa wanajua hilo especially military veterans.
Majibu yako haya hapaHuyo generali katili ameshateka vijiji vingapi mpaka Sasa [emoji848][emoji1787][emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NakubaliSasa hivi nchi nyingi za Ulaya zimeahidi kupeleka mifumo Yao ya ulinzi wa anga Ukraine.
Ujerumani imeshapeleka tayari, UK anapeleka mda sio mrefu, Ufaransa nae, Uholansi nae na baba Yao USA nae atapeleka.
Lengo sio kuilinda Ukraine bali ni kufanya majaribio Kama mifumo Yao inaweza kutoboa mbele ya makombora ya Urusi...
Tusiombe ifanikiwe mifumo ya USA ama UK, maana itapigwa promo kuliko kawaida.