Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WANAANZA KUJITOA MMOJA MMOJA
☢️🇫🇷🇺🇦 Macron: France will not use nuclear weapons if Russia strikes Ukraine with them

"Our doctrine is based on the fundamental interests of the nation. They are clearly defined and will not be directly involved if, for example, a ballistic nuclear attack occurs [in Ukraine],"
👇👇👇
Basically France doctrine is defensive and it will use nuclear weapons if some army without permission enters France or invade it,but this rhetoric is scary....
 
Jombaa unajiaibisha Sana unasema wanafundisha mashuleni ushoga , we jamaa ni pimbi ,ni akina Nani hao ambao wanawafundisha vijana wenu ushoga mashuleni ?
Kuna mtu amekufata au kamfata mtoto wako akamlala nyuma Kwa lazima ?
Yaani unaandika nonsensical garbage tu , dude grow up !
Labda kuna hizo shule watoto wake,rafiki au wa ndugu zake wapo huko maana hiyo taarifa unaifahamuje kama hujaona walimu na wanafunzi?
 
WANAANZA KUJITOA MMOJA MMOJA
[emoji3518][emoji632][emoji1255] Macron: France will not use nuclear weapons if Russia strikes Ukraine with them

"Our doctrine is based on the fundamental interests of the nation. They are clearly defined and will not be directly involved if, for example, a ballistic nuclear attack occurs [in Ukraine],"
[emoji116][emoji116][emoji116]
Basically France doctrine is defensive and it will use nuclear weapons if some army without permission enters France or invade it,but this rhetoric is scary....

Uyo ni moja ya member mkubwa wa NO ACTION TALK ONLY. Mwaka huu watavaa sana diapers
 
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.

View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Crimea tangia 2014 ipo chini ya Russia lakini haitsmbuliki na UN wala zaidi Russia mwenyewe ndo anaitambua ila mpk leo hakuna mlichoweza kumfanya sasa sembuse hayo majimbo mengine
 
IMG_20221013_102856_590.jpg

🇷🇺 Putin at Astana Summit:

📍End financial system that benefits "Golden Billion" - who live at expense of others
📍Russia calls for Afghanistan compensation - for damage done by years of US occupation
📍Moscow doing everything to form system of equal & indivisible security
📍Asia new centre of power, plays major role in transition to multipolar world
📍Threat of famine REAL as food and energy prices surge

Updates from CICA
 
Crimea tangia 2014 ipo chini ya Russia lakini haitsmbuliki na UN wala zaidi Russia mwenyewe ndo anaitambua ila mpk leo hakuna mlichoweza kumfanya sasa sembuse hayo majimbo mengine
Hii taharifa inewauna kweli pro Putin.., vumilieni tu wakuu, mambo ndivyo yalivyo, Putin anakataliwa kila Kona,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.

View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
UNGA votes hazina nguvu za kufanyiwa implementation. Hapo inabidi waipeleke UNSC ndio ipate nguvu.
 
Hata yule wa Tz walisema hivi hivi, kwamba sushi na aendelee kutawala. Mungu akasema kea shida uliyowaletea ndugu zako hustahili. Nadhani historia inaanza kujirudia huko urusi. Eti "there is no replacement for putin". Hizi sifa za hovyo kabisa. Ngoja tuone anavyoendelea kuvimbishwa kichwa with no somebody to replacement him.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Unauhakika Mungu ndie alisema hivyo? Au ni mtazamo tu?
 
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.

View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Kumbe UN wakibisha ndo Russia wanaanza kuogopa?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Jombaa unajiaibisha Sana unasema wanafundisha mashuleni ushoga , we jamaa ni pimbi ,ni akina Nani hao ambao wanawafundisha vijana wenu ushoga mashuleni ?
Kuna mtu amekufata au kamfata mtoto wako akamlala nyuma Kwa lazima ?
Yaani unaandika nonsensical garbage tu , dude grow up !
Hawa jamaa wakiishiwa hoja wanakimbilia ushoga tu .., utafikiri Kuna mgambo anawagongea mlango kila siku akiwalazimisha wawe shoga[emoji848]

Back
Top Bottom