wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Sahihi kabisa hao ndio mashetani halisi walio Kwny mwili wa kibinadamu.Hao ndo wanatoa pesa ukisikia big SATANS ndo hao. Hapo ni Ant NWO vs NWO
Sahihi kabisa hao ndio mashetani halisi walio Kwny mwili wa kibinadamu.Hao ndo wanatoa pesa ukisikia big SATANS ndo hao. Hapo ni Ant NWO vs NWO
Putin ako na watuView attachment 2385567
🇷🇺 Putin at Astana Summit:
📍End financial system that benefits "Golden Billion" - who live at expense of others
📍Russia calls for Afghanistan compensation - for damage done by years of US occupation
📍Moscow doing everything to form system of equal & indivisible security
📍Asia new centre of power, plays major role in transition to multipolar world
📍Threat of famine REAL as food and energy prices surge
Updates from CICA
Pro Russia hii habari wameangaika nayo kweli [emoji848][emoji1787][emoji2]Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Na yatazidi kulambishwa mchanga sana tu..,kila mrusi anayekanyaga kwenye ardhi ya ukraine ni mbolea Halali kwa ardhi ya ukraine [emoji56][emoji56]
Una hoja nzuri na inayofikirisha kwa nini Africa baada ya mika zaidi ya 50 tangu uhuru tuendelee kulalamika kuwa tulitawaliwa. tena Afrika kama Tanzania tulitawaliwa kwa miaka kama 100 tu wakati India ilitawaliwa kwa miaka 600.Unaongelea colonialism as if ni Africa pekee ilikuwa colonised ,samahani Ila we jamaa mi nakuona ni mpuuz , Marekani ,Canada , Australia yenyewe ilikuwa colonised na mwingereza mbona Leo hizo nchi ni prosperous and powerful zaidi ya colonial master wao ? ,Southern Korea , Taiwan , Indonesia ,Malaysia , China waliwahi kuwa colonised by Japanese tena under harsh and imaginable brutality zaidi ya nonesense hizo ulizo andika hapo ,je leo mbona hizo nchi zipo kwenye G20 na ni amongst the prosperous countries in the world ? India ilikuwa colony la mwingereza je colonialism imezizuia kuwa among the biggest and successful countries in the world ?
Hoja yako ya ukoloni ni mfu ,excuse ya watu wajinga wasio na elimu hiyo
Tafuta hoja ya Maana Bob
Umeandika nonesense .
Hawa UN wakat ule US anavamia iraq walimzuia lakin alivamia tuuu!!!Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
We don't want or we are scared!???[emoji632]Emmanuel Macron-"We don't want a world war."
We help Ukraine to resist on its soil, never to attack Russia. Vladimir Putin must end this war and respect the territorial integrity of Ukraine.
Si ndio hapo ngozi nyeusi Sisi na excuses za kijinga kutafuta sympathy na visingizio aisee .India imetawaliwa kikoloni Kwa miaka zaidi ya Mia nne akianza mreno ,mdutch ,mwingereza ,Afrika mkoloni kwanza ingia kwenye miaka 1900's ,sasa eti mpaka sasa Sisi ndio tunatumia kama excuse ya kuwa hivi tulivyo ,na ni progress gani iliyopo sasa baada ya kupata huo Uhuru ? , Ukimuuliza mtu anatoa macho Tu na bullshit zisizo na mbele wala nyuma .Una hoja nzuri na inayofikirisha kwa nini Africa baada ya mika zaidi ya 50 tangu uhuru tuendelee kulalamika kuwa tulitawaliwa. tena Afrika kama Tanzania tulitawaliwa kwa miaka kama 100 tu wakati India ilitawaliwa kwa miaka 600.
Ni Bora wawaachie kazi ya kudeal na hawa wapuuz wale miamba WA Azov , hawa washenzi ni kuwafumua risasi za vichwa Tu kama Azov battalion walivyokuwa wanafanya .Na yatazidi kulambishwa mchanga sana tu..,kila mrusi anayekanyaga kwenye ardhi ya ukraine ni mbolea Halali kwa ardhi ya ukraine [emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na UNSC ili ipate nguvu si lzm member wote asiwepo mmoja mwenye kura ya turufu atakayedecide agaisnt!?UNGA votes hazina nguvu za kufanyiwa implementation. Hapo inabidi waipeleke UNSC ndio ipate nguvu.
Kwa sasa urrusi anahatarisha amani kwa mizinga ya NyukiliaKwa Iki ulichoandika? Unadhani nani ndio anaehatarisha amani Duniani. Ndio maana tunaona Bora multipolar world.
Be like... [emoji117] Okay Russia. Come out with your hands up. The free world has you surrounded. Come out or we shoot. Pew pew pew pew! [emoji23][emoji23][emoji23]Na UNSC ili ipate nguvu si lzm member wote asiwepo mmoja mwenye kura ya turufu atakayedecide agaisnt!?
Kama huelewi hoja ni Bora uwe unakaa kimya , tumia akili kujibu hoja ,sio kuandika ujinga hapaTafuta Hela,ukiwa nazo hizo takwimu Wala hata hazitakuhusu!Utaishi maisha mazuri kuliko hao unaowaabudu!Hata huko pia Kuna ombaomba na wanaishi maisha magumu sana!
Haya mazombi ya pro fashisti inabidi uyapeleke mchakamchaka kama hivi,ukiyapeleka kistaharabu hayahelewi yahani [emoji28]Kama huelewi hoja ni Bora uwe unakaa kimya , tumia akili kujibu hoja ,sio kuandika ujinga hapa