Unaelewa nini kuhusu third world countries living conditions ? au ndio kuandika kimihemko , kujifariji na kujaza servers Tu humu ?Wewe si umejiita msindikizaji kisa tu ni mtanzania,unaona wanaoishi ni WA huko Ulaya na Marekani!
Unahisi ukila ugali basi huna maisha,naweza nikaagiza ugali,na wewe ukaagiza hizo hizo burger lakini kumbe Nina uwezo kiuchumi kuliko wewe!Kuna watu bongo wana mazuri kuliko hao unaowaabudu!
Wewe unaishi nchi hizi za Subsahara au unaishi Antarctica ?
Hao wenye uwezo WA kuwa na atleast 1 Million USD nchi hii unajua ni asilimia ngapi Kati ya raia wote ?
Upward social mobility index unajua ni ngapi Kwa nchi hizi za KiAfrica kama Tz ?
Unajua hata average annual income ya mwananchi wa kawaida ni ngapi mfano nchi hii ?
Unajua purchasing power index ya mwananchi wa kawaida ni ngapi huku Africa ?
Wewe unafikiri mnapoitwa nyie ni nchi masikini unafikiri wanawaonea sio ?