Kumbuka kwamba linapokuja suala la submarine Russian ndio inaongoza katika umilikaji wa subs zenye SLICBM zenye capacity kubwa in terms of payload does Bulava ring a bell to you??
Submarine za Urusi wala hazipo mbali sana na pwani ya mashariki na magharibi ya Merikani including Gulf of Mexico, usilisahau hilo, actually siku za hivi karibuni Urusi imeongezea kifaa kingine hatarishi, namely: Stealth submarines drones zilizo sheheni thermonuclear payloads zenye yielding capacity inayo fikia 200 Megatonne each!! Remember kwamba father of all nuclear bombs in the World (Tzar LaBomba) was a mere 50Mt - what does that tell you, any idea what would happen should Putin and his Generals decide to unleash these monsters close to the east and west coasts of the USA??
I am not a scare monger, lakini ni vema wakati mwingine kuwakumbusha binadamu wenzangu kuhusu hatari za kweli zenye uwezo wa kweli wa kuiangamiza Dunia yetu yote ndani ya muda mfupi sana sana. Bottomline again is: wakati mwingine ni vema tujifunze kubakiza akiba ya maneno - ni kweli Amerika ina jeshi kubwa na la kisasa - tatizo ni kwamba huwa kuna tedency ya baadhi ya watu ku-overly inflate military capabilities za Uncle SAM wakati hajawahi hata siku moja kupigana ana kwa ana na a real McCoy militarywise that is - kazi yake masaa yote ni kuonea na kutisha tisha military weak Banana republics, basi.