wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Mcheki hapo rais wa azerbaijan akiwachana BBC khs kukamatwa kwa Assange, nilicheka Sana.Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?
Kumbuka msingi mmoja wapo wa Demokrasia ya Magharibi ni haki ya kupata habari, je? huoni hiyo haki imefinywa?
Na kama imefinywa unasemaje fox news ndio kielelezo Cha uwepo wa Demokrasia America?
Ni clip ya dakika 3 tu,kila mpinga NATO aicheki aone upuuzi wa hii inayoitwa Freedom of press.