Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Majeshi ya urusi yameanza kurudi liman nilisemaga kuhusu hili
Mrusi ni mhuni bila kuwatetea Ukrein , amezikaka watu wangapi hasa kwenye maeneo aliokuwa anayashikilia ? Na sio hii tu warusi wanaroho mbaya sana, sipendi vita ila natamani Urusi ifutike wale ni wanyama kwani yule dr shita mwaweza ona alikua anadanganyana ila ukweli hakuna watu wenye roho za ajabu Kama Warusi ,washenzi Sana wale awe mke au mwanaume[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
View attachment 2384825
The Kiev regime has been using terrorist methods for a long time - Putin.
Nahisi kama kuna kipigo kipo jikoni kinaandaliwa na huenda soon SMO ikawa CTO/ATO... Time will tell!
Unafikiri anatusaidia kwa kuwa ana huruma??sawa ila ukiwa huna hela huna sauti hata mtaani iko ivo
us akiacha kutusaidia mwaka 1 89%ya jamii yetu tunabaki vichwa vitupu.
Kwa hiyo shirika la Urusi la habari unalifananisha na ISIS ambalo ni kikundi Cha kigaidi?Kwa hiyo kwa sababu kuna demokrasia US unataka waruhusu hadi vituo vya habari vya Taliban, ISIS na vingine vya namna hiyo nchi mwao?? Maswali mengine jaribu kujiongeza
HaifungukiMcheki hapo rais wa azerbaijan akiwachana BBC khs kukamatwa kwa Assange, nilicheka Sana.
Ni clip ya dakika 3 tu,kila mpinga NATO aicheki aone upuuzi wa hii inayoitwa Freedom of press.
Ulikuwa na undugu na Dr shika?Mrusi ni mhuni bila kuwatetea Ukrein , amezikaka watu wangapi hasa kwenye maeneo aliokuwa anayashikilia ? Na sio hii tu warusi wanaroho mbaya sana, sipendi vita ila natamani Urusi ifutike wale ni wanyama kwani yule dr shita mwaweza ona alikua anadanganyana ila ukweli hakuna watu wenye roho za ajabu Kama Warusi ,washenzi Sana wale awe mke au mwanaume
Huko ni kufeli kwa hilo jinga Putin.Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .
Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006
Kawatoe kaka....Hata ndani ya Urusi, Ujerumani, UK na hata Marekani wanazi wapo, Ina maana huko hamna usalama ?
Tazama video vijana wa putin wanavyokaangwa fronline anatapatapa kama nyoka kamwagiwa Mafuta taa
Jinga sana nyie kila mara mkipokea kichapo lazima mtengeneze sinema Kama hizi.Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .
Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006
Mjifiche Kwa watoto muachwe eti....mtapigwa popote pale.Huko ni kufeli kwa hilo jinga Putin.
Huyo Putin ni The last kick of dying horse [emoji237][emoji237][emoji206][emoji206][emoji206]Kwa nini huyu matakore PUTIN anaua hawa watoto wa miaka 3 si aende kupigana na wanaume walioko front .
Miaka 70 anaugua ule ugonjwa wa kusahau sahau, dementia au Alzheimer.. Aacha kuwashambulia infant.
View attachment 2385006