Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Matonya kilia Lia

[emoji631][emoji1255]Biden asked Zelensky to stop complaining — The Washington Post.

The US president said it would be difficult for him to continue asking Congress for money while the ungrateful Zelensky continues to say that the assistance provided is not enough.

Subscribe to @Sputnik
 
Duuuh,kweli hizi ndio akili mfu!Kama huna furaha kwenye maisha Yako ni wewe,wengine tumeridhika and we are happy!Pole sana kama unajiona msindikizaji kwenye haya maisha!
Kuna watu wana utajiri mkubwa ila hawana furaha,wanaishia kupata msongo wa mawazo na kujiua!Angalia nchi zinazoongoza Kwa suicide,ndio hizo ambazo wewe Unadhani unawasindikiza kwenye maisha!
Eti unadharau ugali,wakati Mimi hakuna chakula ninachokipenda Kwa lunch kama ugali,kanyama pembeni na mbogamboga bila kusahau pilipili na limao,nikishushia na maji baridi halafu narudi kutafuta Ili kesho Nile Tena ugali!
Melezo yamejitosheleza Kabisa [emoji123]
 
Airborne wa Belarus wanapigwa jaramba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]

[emoji1044]Servicemen of the 38th Brest Separate Guards Airborne Assault Brigade made a night landing from IL-76MD.

The exercises that are currently taking place in Belarus are connected with the aggravation of the military-political situation.

Subscribe to @Sputnik
IMG_20221012_162923_228.jpg
IMG_20221012_162930_857.jpg
 
Russia Today na hayo ma Sputnik news yalikuwepo yakionyoshwa tele Ulaya na Marekani kabla ya uvamizi. Baada ya uvamizi yaliwekwa chini ya vikwazo kwa sababu yalikiwa yanaendesha vipindi vinavyomuhamisha Putin azidi kuishambulia Ukraine na ikiwezekana West kabisa.
Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?
Kumbuka msingi mmoja wapo wa Demokrasia ya Magharibi ni haki ya kupata habari, je? huoni hiyo haki imefinywa?
Na kama imefinywa unasemaje fox news ndio kielelezo Cha uwepo wa Demokrasia America?
 
Drone ya USA inayotumiwa na Wanamgambo Ukraine imeshushwa kama jiwe na WA Chechens front [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Russian fighters in Ukraine landed an American drone weighing under 100 kg, Kadyrov said.

"This iron carcass weighing under 100 kg tried to drop a mortar shell on the positions of Russian troops. Our hunters worked ahead of schedule," said the head of Chechnya @RKadyrov_95.

Subscribe to @Sputnik
Screenshot_20221012-163332.jpg
 
Tunawaambiaga Huyu Zelensky ni kichaa hamuelewi😆😆


⚡️🇺🇸🇺🇦US President Biden has warned Ukrainian President Zelensky that it will be difficult for him to continue asking Congress for money if he continues to be ungrateful. - Washington Post
Kwa kauli hiyo inaonyesha zele kuna baadhi ya misimamo siyo yake ila ndiyo hivyo kashatumia hela nyingi za mabeberu kwenye vita anaishi kama mateka wao
 
Huko France zaidi ya magari 100,000 yamepaki kutokana na uhaba wa gas na mafuta-Urusi sio Africa.
=zaidi ya wafabyakazi 40,000 wamegoma wanataka nyongeza za mishahara kutokana na inflation.
=Raia wengine wanagoma wanataka France ijitoe,wamechoka kodi zao kupelekwa Ukraine kila kukicha huku wao hali zao mbaya.
 
Putin alisema anaenda kufanya operation Ukraine, mpaka sasa ameshatumia silaha za aina zote kasoro nyuklia tu na amelipua shule, vituo vya afya na playgrounds za kucheza watoto wadogo.

Libya kuwa failed state ni kwa sababu madikteta huwa yana mikakati ya makusudi ya kuzifanya taasisi zote muhimu za kiraia kuwa dhaifu ila watawale kirahisi. Matoke yake yanapooendelwa kwa njia yoyote ile huwa yanaacha ombwe kubwa ambapo hupelekea nchi kuyumba sana au kusambaratika kabisa kama ilivyotokea Somalia, Misri, Sudan, Burkin Faso n.k, hicho ndicho kilichoikuta Libya pia, wa kulaumiwa na kulaaniww hapo ni dikteta Gaddafi.
Kuna speech ya Putin nadhani alichambua vizuri sana kuhusu hili, huku akielezea walichorepresent western power na walioenda kufanya ni regime change na matokeo yake Libya kuwa failed state with two government.
 
Putin auze mafuta yake China, India na Africa, aache kulalamika.
US wakiweka "price ceiling" watakuwa wanamsaidia kufikia kwa haraka mpango wake wa kuikatia Ulaya nishati anayowaringishia na kutumia kama fimbo[emoji16]
Putin: Suppose the West introduces a "price ceiling" for Russian oil.

But who can guarantee that the same ceiling will not be introduced in other areas later? Agricultural products, semiconductors, metallurgy. And not only in relation to Russia, but also to any other country in the world?

No one will give such a guarantee. This means that the West is destroying the world market.

Subscribe to @Sputnik
 
Back in 1994, kuna Pro-NATO wengine naona walikuwa hawajazaliwa... Today the same Guy, Old dementia ndio wamekazana kumsifia mtangaza amani na usawa duniani.

As the. U.S. prepares to invade Haiti, we remember the time Joe Biden said ahead of the U.S. 1994 invasion of the island that it wouldn’t matter if “Haiti sunk into the Caribbean”.



Leo limezeeka to the extent ya kudondosha cheat paper kwenye interview linawaza ushenzi ule ule..

[emoji1258] In a new CNN interview, Biden's cheat sheets have reached a new level: the US president dropped it, and the presenter picked it up



Huh kweli hata mapunguani pia huwa yanazeeka!

Sasa hello to Boys na Visichana vya Pro West (I guess that pronoun fit you well). Ni kwamba in case hujui kitu basi nyamaza. Na kama unajua ila unaficha kwa mahaba yaliyo-kuzidi urefu basi rejea kwenye phrase ya kwanza... NYAMAZA.
 
Kwa hiyo kwa sababu kuna demokrasia US unataka waruhusu hadi vituo vya habari vya Taliban, ISIS na vingine vya namna hiyo nchi mwao?? Maswali mengine jaribu kujiongeza
Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?
Kumbuka msingi mmoja wapo wa Demokrasia ya Magharibi ni haki ya kupata habari, je? huoni hiyo haki imefinywa?
Na kama imefinywa unasemaje fox news ndio kielelezo Cha uwepo wa Demokrasia America?
 
Wagonjwa wa akili Kwa staili ya ushabiki huu ni wengi sana Tanzania, nimeamini wapumbavu awawezi kuisha hasa Kwa watu wazima na wale wasiokuwa na nguvu za kiume za uhakika hata kimoko ni shida ndiyo wanaongoza Kwa upumbavu wa Hali ya juu, kma ww unapitia Uzi huu kupata update za yanayojili na ww unaeripoti yanayojili ww ni mwanaume hasa na km ni mwanamke basi ww ni WA shoka acha washabiki waendelee kutoheshimiana wakati Hawana wanalojua hata kirusi hawakijui nyumbu pori hawa wanatawaliwa na wake zao Kwa sababu ya ushoga wa akili,
 
Back
Top Bottom