Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na yeye kutoa subsidies ,aids za madawa ,vifaa tiba ,elimu na mikopo ya fedha ambayo anazipa nchi zenu hizo za kijinga zilizofail kujiongoza na kuondoa Umasikini kupitia serikali yake ,NGOs ,balozi na IMF na UN agencies nyingine msimpangie sasa na wala msimlazimishe .
Contributor mkubwa pale UN ni yeye na Hakuna big contributor WA foreign aids Chini ya dunia tofauti na yeye .
Kama mbwai na iwe mbwai sasa tuone Nani anamhitaji mwenzake .

Yaani Mimi nawashangaa ni Bora hata nchi nyingine zingeongea si nchi za kijinga kama hizi za Hapa Africa ambazo donor kama USA akijiondoa Tu nchi inarudi Zama za mawe , fanyeni utafiti muone ni kiasi gani hizi nchi zinategemea US aids , handouts na mikopo kwenye budget zake ili kujiendesha .
FANYA utafiti ukipewa mkopo wa trilioni saba za korona kwa riba ya asilimia 200 UTALipa kiasi gani
 
Jana mrusi akihangaika kurusha makombora ambayo mengi yamezuiwa na mengine kutua barabarani Ukraine imakaanga hii column ya missile launchers kipigo cha Himars tazama zilivyo accurate zinachapa target palepale ni hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


We jamaa toka utuwekee video hapa unatuonyesha makombora yanapiga daraja la Crimea siziamini tena taarifa zako
 
Wewe uwe Unatumia akili , kuna hoja mnaandika humu ni za kipumbav Sana , mnashusha hadhi ya hii platform , kila siku iukimbilia hoja ya ushoga ,rubbish . Ni uwezo mdogo WA kiakili WA kushindwa kuchambua mambo , Kuna mtu alisha kulazimisha kukuingizia matacleni mwako na kukulazimisha kuwa shoga ?
Anaye ishushia hadhi jf ni ww uliye jaa upuuzi wa kutoa matusi kiholela badala ya hoja, alafu utakuta na ww eti una familia.
 
Kwenye porojo zako zote umesahau kuweka hii ya zaidi ya 50% ya silaha za nuclear za US zinabebwa na nyambizi zilizotawanyika kote duniani. Itabidi Russia wakianza kushambulia West kwa nuclear wazikusanye na submarines zote za West sehemu moja wazimalize kabla wao hawajamalizwa.

Kumbuka kwamba linapokuja suala la submarine Russian ndio inaongoza katika umilikaji wa subs zenye SLICBM zenye capacity kubwa in terms of payload does Bulava ring a bell to you??

Submarine za Urusi wala hazipo mbali sana na pwani ya mashariki na magharibi ya Merikani including Gulf of Mexico, usilisahau hilo, actually siku za hivi karibuni Urusi imeongezea kifaa kingine hatarishi, namely: Stealth submarines drones zilizo sheheni thermonuclear payloads zenye yielding capacity inayo fikia 200 Megatonne each!! Remember kwamba father of all nuclear bombs in the World (Tzar LaBomba) was a mere 50Mt - what does that tell you, any idea what would happen should Putin and his Generals decide to unleash these monsters close to the east and west coasts of the USA??

I am not a scare monger, lakini ni vema wakati mwingine kuwakumbusha binadamu wenzangu kuhusu hatari za kweli zenye uwezo wa kweli wa kuiangamiza Dunia yetu yote ndani ya muda mfupi sana sana. Bottomline again is: wakati mwingine ni vema tujifunze kubakiza akiba ya maneno - ni kweli Amerika ina jeshi kubwa na la kisasa - tatizo ni kwamba huwa kuna tedency ya baadhi ya watu ku-overly inflate military capabilities za Uncle SAM wakati hajawahi hata siku moja kupigana ana kwa ana na a real McCoy militarywise that is - kazi yake masaa yote ni kuonea na kutisha tisha military weak Banana republics, basi.
 

Huyu gaidi hatari, alitaka kumeza line ya simu na simu yenyewe, wamemuwahi!
====
Kuna video mbili na maelezo yake kwenye link hapa chini zikionyesha namna magaidi walivyokamatwa.


====
According to the FSB, explosives for blowing up the Crimean Bridge arrived in August by sea from Odessa to Bulgaria. That is, Ukrainian terrorists used a grain deal to commit a terrorist attack in Russia. The so-called political West headed by Washington pledged Moscow to unblock the sea route in the Black Sea from Odessa to resume the supply of Ukrainian grain to ”avoid the global famine”. In fact, twenty tons of explosives were transported to Europe, which was used to commit a terrorist attack on the h Bridge, which killed innocent Russian citizens.
 
Wewe uwe Unatumia akili , kuna hoja mnaandika humu ni za kipumbav Sana , mnashusha hadhi ya hii platform , kila siku iukimbilia hoja ya ushoga ,rubbish . Ni uwezo mdogo WA kiakili WA kushindwa kuchambua mambo , Kuna mtu alisha kulazimisha kukuingizia matacleni mwako na kukulazimisha kuwa shoga ?
Kapumzishe akili,stress zikiisha utakuja humu kujadili hoja!Kwa ushauri tu,mkiwa na stress kwenye mihamgaiko ya maisha,msije nazo humu JF!
Mchana mwema!
 
Kisa unapewa msaada ndio upangiwe adui na rafiki?Kisa unapewa msaada ndio uwapigie magoti kila wakitakacho mkifanye?Ndio hayo ya kulazimishwa ushoga wakati ni kinyume na Mila na desturi zetu!Fikra za hivi ni za kitumwa!Sasa mnamuitaje baba wa demokrasia wakati anatumia uwezo wake kiuchumi na kijeshi kukandamiza nchi huru?
Misaada hata kama sio ya kiwango Cha US,mbona nchi nyingi zinatupa misaada na hawatuchagulii marafiki Wala maadui?
Msikilize waziri wa mambo ya nje wa South Africa alichomchana Blinken!
ukisha kuwa huna hela huna sauti
 
Mkubwa bi mkubwa tu, Russia anajaribu kujitutumua tu, lakini kihualisia jamaa ni wepesi sana kama pamba,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia anatakiwa kuimarisha uchumi wake mengine yote yatamfata, wakiwemo na hawa akina yukreni anaolazimisha kuwamiliki watamfuata pasipo kuwarushia hata risasi.
 
Halafu haya mavaa kobaz yalivyojificha Kwa kisingizio cha u pro Russia ni majinga Sana , eti jitu limevimbiwa kiporo cha maharage in the middle of nowhere linaandika humu eti NATO alliance ni undemocratic , how stupid and pathetic that is , out of all 30+ members of the alliance Kura ya member wawili Turkey na Hungary ndio imesababisha process ya kuadminister new members isimame , where on earth you can get that ? Kama huyo mmarekani wanaesema ndio ananguvu Kule si angeforce Sweden na Finland wajoin the alliance ?
Kama nakiona vile kifua chako kilivyojaa chuki na mihasira [emoji16]
 
⚡️ BREAKING NEWS ⚡️

Putin at meeting with UAE president discussed rapid growth of trade and economic growth between the two countries, also discussed Ukrainian situation as UAE plays important role in exchange of prisoners between Moscow and Kiev - Kremlin Spokesman Peskov.
 
Back
Top Bottom