Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umeongea kama haujui siasa za uchumi wa kimataifa. Hata ingekuwa ni Tanzania ndio superpower, angetumia njia hizo hizo ili kubakia na hadhi yake. Usione Mrusi au Mchina wanapambana na US ukadhani wanafanya vile kwa sababu hawataki uonevu au wana tabia tofauti na US, kila mmoja anapambana ili siku US akiteleza basi waweze kumpiku na wao waje na mipango yao.
Kwa mfano hebu angalia, huku tunalalamika bei ya mafuta imependa sana, wakati huo huo Mrusi anashawishi wazalisha mafuta wenzake wapunguze uzalishaji ili bei zipande. Hii dunia watu wanatumia fursa tu kupiga pesa hakuna cha zaidi.
Halafu yalivyo mapumbav na mapimbi bei ikipanda ya mafuta yanapiga kelele kama ngedere ,
 
Kama sio Uturuki na Hungary mwakani NATO ilikuwa tayari ina uhakika wa 100% kuziongoza Sweden na Finland katika umoja huo.
Halafu haya mavaa kobaz yalivyojificha Kwa kisingizio cha u pro Russia ni majinga Sana , eti jitu limevimbiwa kiporo cha maharage in the middle of nowhere linaandika humu eti NATO alliance ni undemocratic , how stupid and pathetic that is , out of all 30+ members of the alliance Kura ya member wawili Turkey na Hungary ndio imesababisha process ya kuadminister new members isimame , where on earth you can get that ? Kama huyo mmarekani wanaesema ndio ananguvu Kule si angeforce Sweden na Finland wajoin the alliance ?
 
Ausralia kutoa mafunzo ya KIJEDA Ukraine .... Sababu yao kuu hii hapa !!

“This is a fight about the international rule of law, about whether sovereign borders will be respected and that is why the world is united in their support for Ukraine against this Russian aggression,” Albanese said.
Fashisti Putin anadhani anaweza kupambana na Dunia na akashinda.., anajaribu kufukuza upepo [emoji16]

Ni suala la muda atanyooshwa tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HAKA KAJAMAA NI KASNIPER KAKIUKRAINE KAMEDAKWA NA VIJANA WA SERGEI KANITIA HURUMA

View attachment 2384426
Unataka tuanze kukumbushana mambo haya sio?
1664291850396.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi pro-NATO huwa wanasikiliza kauli za hawa wanao washabikia au wanaendeshwa na chuki plus mihemko isiyo na maana?

View attachment 2384434

[emoji1258][emoji1255] Former Chief of the Joint Chiefs of Staff, four-star US Army General Jack Keane admitted live on Fox News: “For just $66 billion, we dragged Ukraine into a war with Russia.”

These "investments" have been made since February of this year. And they turned out to be "very profitable, because for relatively little money in the interests of the United States, not Americans, but Ukrainians die in the war with Russia."

JF's Khokhols be like... "si kweli dikteta fashist andunje mkorofi" ila hawa Jamaa wanaojitapa upuuzi wanao fanya tena mbele ya Media wanazo zichungulia ni watakatifu.
Weka source ,si kijiwe cha Kahawa hiki,nyie si kila siku wenzenu wanaweka hoja tena na sources mnasema propaganda ? ,tuaaminije hicho unachotuandikia hapa ?, najua umeokoteza hizi takataka toka kwenye vijiwe vya kahawa telegram Maana ndio news source yenu pendwa
 
Fox News ni right-winger wenye mahaba makubwa na Putin na authoritarians, wengi wa wachangiaji wa Fox News ni waamini wa conspiracy za kipuuzi za QAnon.
Hivi pro-NATO huwa wanasikiliza kauli za hawa wanao washabikia au wanaendeshwa na chuki plus mihemko isiyo na maana?

View attachment 2384434

[emoji1258][emoji1255] Former Chief of the Joint Chiefs of Staff, four-star US Army General Jack Keane admitted live on Fox News: “For just $66 billion, we dragged Ukraine into a war with Russia.”

These "investments" have been made since February of this year. And they turned out to be "very profitable, because for relatively little money in the interests of the United States, not Americans, but Ukrainians die in the war with Russia."

JF's Khokhols be like... "si kweli dikteta fashist andunje mkorofi" ila hawa Jamaa wanaojitapa upuuzi wanao fanya tena mbele ya Media wanazo zichungulia ni watakatifu.
 
Wangekuwa wazee wa kutembea na mafuta kwa sikio wangekuwa wamelala nako mbele tayari 😂😂😂 sniper sio wa kumuacha hai.. Upofu ungemuhusu ningetoa kabisa macho yote mawili,
Dawa ya sniper ndo hiyo unamwacha na upofu halafu unamwambia wewe si una shabaha nenda ukawalenge wengine uwaue 🤣🤣🤣
 
Njaa ilipopiga Tanzania mwaka 1974 Nyerere alipewa mahindi ya njano/unga wa yanga kutoka kwa Mabeberu wa Marekani ili Watanzania wale wasife njaa.
Tena baba zao na mama zao waliyagombania kama ngedere kwenye Shamba la mahindi na nguo zao zilizoshonwa viraka makalioni ,enzi hizo wakifulia majani ya mpapai , Sera za kipumbav za kijamaa nchi ikawa ni failed state hata basic commodities Tu kama sukari na sabuni hamna , ukikamatwa na sukari au sabuni wewe ni mhujumu uchumi , how stupid and moronic that was
 
Ausralia kutoa mafunzo ya KIJEDA Ukraine .... Sababu yao kuu hii hapa !!

“This is a fight about the international rule of law, about whether sovereign borders will be respected and that is why the world is united in their support for Ukraine against this Russian aggression,” Albanese said.
Hata wakipewa mafunzonna Alien's hawataweza kubato na Russia
 
Fox News ni right-winger wenye mahaba makubwa na Putin na authoritarians, wengi wa wachangiaji wa Fox News ni waamini wa conspiracy za kipuuzi za QAnon.
Na hii Inadhihilisha kiwango kikubwa Cha democracy waliyonayo west.., maana fox news ni chombo rasmi Cha habari Cha west,
Lakini bado kina uhuru kutoa mahudhui yanayoegemea upande wa Russia na kwingineko,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom