Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo kwenye ramani chini maeneo ya Ukraine ambayo Putin na Sergei waliyatia kiberiti kwa wakati mmoja💥💥💥


Screenshot_20221012-092654_Chrome.jpg
 
Ausralia kutoa mafunzo ya KIJEDA Ukraine .... Sababu yao kuu hii hapa !!

“This is a fight about the international rule of law, about whether sovereign borders will be respected and that is why the world is united in their support for Ukraine against this Russian aggression,” Albanese said.
:"he world is united" which world are you talking about?
 
Hivi pro-NATO huwa wanasikiliza kauli za hawa wanao washabikia au wanaendeshwa na chuki plus mihemko isiyo na maana?



🇺🇲🇺🇦 Former Chief of the Joint Chiefs of Staff, four-star US Army General Jack Keane admitted live on Fox News: “For just $66 billion, we dragged Ukraine into a war with Russia.”

These "investments" have been made since February of this year. And they turned out to be "very profitable, because for relatively little money in the interests of the United States, not Americans, but Ukrainians die in the war with Russia."

JF's Khokhols be like... "si kweli dikteta fashist andunje mkorofi" ila hawa Jamaa wanaojitapa upuuzi wanao fanya tena mbele ya Media wanazo zichungulia ni watakatifu.
 
Umeona jeshi au polisi wa Ufaransa wakizuia au kuua waandamanaji wanaotaka Macroni aondoke kuwa Rais kama ilivyo Iran ambapo waandamanaji wanaotaka Ma-Ayatollah waondoke na wasiwafundishe wanawake jinsi ya kuvaa wanavyoendelea kufa chini ya majeshi tiifu kwa Ayatollah??
Au shithole countries kama China ,Iran na Urusi ,Urusi Hadi watu wanalishwa polonium can you imagine how cruel and barbaric that is .
 
C mnasema kama IRAN hakuna demokrasia sasa mnalia lia nn

Wanaoandamana IRAN nivibaraka wawamagharibi

Wanatakiwa wakatwe miguu kabla ya kuuwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpuuz ,Kwa hiyo hao ambao mnasema wanaandamana hapo France ni vibaraka WA Russia si ndio hoja yako ? .
 
Back
Top Bottom