Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwani Russia hawatumii internet, Google na Microsoft?? makampuni yote makubwa ya IT ya Marekani yalikuwa Russia, hadi KFC na Pepsi walikuwa wanauza sana vyuku na soda Russia kabla ya uvamizi, ni nadra kukuta makampuni ya Russia ya aina hiyo US[emoji16]
Russia wanajitosheleza zaidi kwenye ngano na mafuta, hata matunda kwa kiasi kikubwa walikuwa wananunua Ulaya[emoji16]
Russia wanajitosheleza zaidi kwenye ngano na mafuta, hata matunda kwa kiasi kikubwa walikuwa wananunua Ulaya[emoji16]
Makampuni makubwa kwa Mujibu wa nani?
Unadhani duniani kote wanaishi kama tunavyoishi Bongo?
Russia japo sio kisiwa ila kuna namna flani wanajitegemea